Advertise here

Wydad yapigika Mechi zote, Man city kinara

Kasomi

JT Founder
1750976859384.jpg

Manchester City imemaliza kileleni mwa msimamo wa Kundi G kufuatia ushindi wa 5-2 dhidi ya Juventus kwenye mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi wa kombe la Dunia la FIFA ngazi ya klabu.

Mtanzania, Selemani Mwalimu amecheza kwa dakika zisizopungua 28 wakati Wydad Casablanca ikilala 2-1 mbele ya Al Ain Fc ya UAE huku Wydad wakimaliza mkiani mwa Kundi G la michuano hiyo baada ya kupoteza mechi zote tatu za hatua ya makundi.

FT: Juventus 🇮🇹 2-5 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City
⚽ 11' Koopmeiners
⚽ 84' Vlahovic
⚽ 09' Kalulu
⚽ 26' Kalulu (og)
⚽ 52' Haaland
⚽ 69' Foden
⚽ 75' Savinho

FT: Wydad AC 🇲🇦 1-2 🇦🇪 Al Ain Fc
⚽ 04' Mailula
⚽ 45+1’ Laba (P)
⚽ 50' Kaku

MSIMAMO Kundi G
1. 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man City — pointi 9
2. 🇮🇹 Juventus — pointi 9
3. 🇦🇪 Al Ain Fc — pointi 3
4. 🇲🇦 Wydad AC — pointi 0

Chanzo: KitengeSports
 
Back
Top