Kasomi
JT Founder
Hivi karibuni Instagram wamewezesha uwezekano wa kuona post yako ya kwanza kabisa kuilike
Fuata hatua zifuatazo hapa chini:
1. Nenda kwenye profile yako ya instagram
2. Bofya mistari mitatu ≡ upande wa juu julia
3. Bofya "Your Activity".
4. Kisha Bofya "Interactions".
5. Halafu Bofya "Likes".
6. Chagua "Oldest to newest"
7. Malizia kwa ku bofya "Apply"
Je, umefanikiwa kuona post yako ya kwanza kabisa kuilike?
Chanzo: Mtaawasaba