Advertise here

Mwijaku akatwa hatua ya awali Ubunge Jimbo la Mvomero

Kasomi

JT Founder
Burton Mwemba ''Mwijaku'' Aanguka Mchujo wa Ubunge Mvomero 🗳️
Screenshot_20250712-230051~2.png

Jina la Mwemba Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku Msomi Mwenye 'Masters' halijarejea katika majina matatu ya mwisho yaliyopitishwa kwenye mchujo wa wagombea wa CCM wanaowania ubunge wa Jimbo la Mvomero.

Licha ya kuwa mmoja wa wagombea waliokuwa wakipewa nafasi kubwa kwa umaarufu wake, safari ya Mwijaku kuelekea bungeni inaonekana kukumbwa na ukuta mapema. Sasa macho yote yanaelekezwa kwa waliobaki katika hatua ya mwisho ya uteuzi.

Mwijaku anasubiri nafasi ya mwisho, kwani Kamati Kuu ya CCM Taifa inaweza kuamua kurudisha jina lake licha ya kukatwa itakapoona anafaa.

Je, unadhani Mwijaku anafasi ya kurudishwa?
 
Back
Top