Advertise here

Ratiba ya kuchukua fomu kwa wagombea Urais, CHADEMA na ACT wapigwa benchi

Kasomi

JT Founder
1754676248066.jpg

HABARI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais watafika kuchukua fomu za uteuzi katika ofisi za Tume zilizopo eneo la Njedengwa, Dodoma.

📌 Ratiba ya Utoaji wa Fomu:

📅 09 Agosti, 2025

CCM – Saa 5:00 Asubuhi

NRA – Saa 8:00 Mchana

AAFP – Saa 10:00 Jioni

📅 10 Agosti, 2025
4. MAKINI – Saa 3:00 Asubuhi
5. NLD – Saa 6:00 Mchana
6. UPDP – Saa 9:00 Jioni

📅 11 Agosti, 2025
7. ADA–TADEA – Saa 3:00 Asubuhi
8. UMD – Saa 6:00 Mchana
9. TLP – Saa 9:00 Jioni

📅 12 Agosti, 2025
10. CCK – Saa 3:00 Asubuhi
11. CHAUMMA – Saa 6:00 Mchana
12. ADC – Saa 9:00 Jioni

🗳️ Vyama vingine vilivyowasilisha taarifa lakini bado havijapangiwa tarehe ni:
13. Democratic Party (DP)
14. NCCR – Mageuzi

🕘 Zoezi la utoaji wa fomu litaendelea hadi tarehe 27 Agosti, 2025.

📍 Mahali: Ofisi za NEC – Njedengwa, Dodoma.

CREDIT; Nipashe Digital
Chanzo: EastAfricaTV
 
Back
Top