Ratiba ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT)

Kasomi

JT Founder
Ratiba ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT)

🏆 Nusu Fainali ya Kwanza
🇫🇷 Ufaransa 🆚 🇪🇸 Uhispania
📅 Jumanne, 14 Julai 2026
🕙 Saa 10:00 usiku

🏆 Nusu Fainali ya Pili
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 🆚 🇦🇷 Argentina
📅 Jumatano, 15 Julai 2026
🕙 Saa 10:00 usiku

Washindi wa mechi hizi mbili watakutana kwenye fainali itakayochezwa Jumapili, 19 Julai 2026 saa 10:00 usiku, huku walioshindwa wakicheza mechi ya nafasi ya tatu tarehe usiku wa tarehe 18 Julai 2026 saa 12:00 usiku kuamkia tarehe 19.
 
Back
Top