Kwanza Awali ya yote niwapongeze team JamiiTalk kwa ubunifu wa hali ya juu, kwa kweli watanzania mmetufanyia KITU MUHIMU SANA kutuletea mtandao mzuri kila mtu anausifu mnoo kongolee kwenu JamiiTalk tuzungumze mpaka tuwe kitu kimoja
#JamiiTalk forever we talk as one team