Kasomi
JT Founder
Ndoto ya muda mrefu ya Tesla ilikuwa kuunda chanzo cha nishati safi ambayo ingelikuwa bure kwa kila mtu. Alipinga vikali matumizi ya makaa ya mawe ambayo yalisababisha uchafuzi wa hali ya hewa.
Tesla aliamini dunia ilikuwa na vyanzo vingi vya kutengeneza umeme kama vile maji ambapo ilikuwa ni salama kwa mazingira.
Mojawapo ya majaribio ya Tesla yaliyowashangaza wanasayansi ilikuwa ni kusambaza nguvu za umeme kwa umbali mrefu bila waya au nyaya ni ajabu mpaka sasa.
Kwa bahati mbaya ndoto na matarajio ya Tesla hayakufanikiwa kwa sababu alikosa msaada wa kifedha.
Mpango wa Tesla ulionekana ni tishio katika ulimwengu wa kibiashara wa kibepari. Hivyo ndivyo ndoto ya umeme bure ilivyokufa.
Lakini dunia ingekuwaje ikiwa umeme ungekuwa safi na bila malipo kwa kila mtu?