Advertise here

Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses zinapatikan kwenye Tovuti hii

Kasomi

JT Founder
Ikiwa Una Laptop au Computer na hufahamu wapi Utapata Softwares za Kuaminika zisizo na Viruses, Elekea:

Kwa Windows:
✅ https://en.uptodown.com/windows
Kwa MacOS:
✅ https://en.uptodown.com/mac
Kwa Android:
✅ https://en.uptodown.com/android

Note:
Tools na Softwares zote zinazopatikana katika Website hii zipo kama zilivyotengenezwa na Wahusika (Developers), hivyo hakuna Uhusiano wowote na Modified Softwares (Cracks). Ikiwa zimewekewa Malipo basi utayakuta na kama hazina mfumo huo hutayakuta.

Baadhi ya Software zinazo Modify system hazipo huko kwasababu ya Usalama.
 
Back
Top