Kasomi
JT Founder
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeendelea na maandalizi muhimu ya kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa uwazi, haki, na ufanisi.
Miongoni mwa hatua muhimu zilizochukuliwa ni pamoja na tangazo la nafasi za muda kwa Watanzania waliopenda kushiriki katika usimamizi wa uchaguzi, ambapo maelfu ya wananchi walituma maombi na kufanyiwa usaili katika kumbi mbalimbali nchini.
Ikiwa wewe ni mmoja wa maelfu ya waombaji hao, habari njema ni kwamba majina ya waliochaguliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 katika Majimbo mbalimbali yameanza kutangazwa rasmi. Ambapo hadi hivi sasa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kigamboni ameshatangaza majina ya walioitwa kwenye mafunzo kupitia tangazo rasmi, likielekeza watendaji wote walioteuliwa kuhudhuria mafunzo maalum kabla ya kuanza kwa kazi ya usimamizi wa uchaguzi.
Tazama Majina hayo Halmashauri Mbalimbali hapa
Halmashauri ya Mwanga
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025 Halmashauri ya Mwanga
Kigamboni
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025 Jimbo la Kigamboni
Singida
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025 Singida Halmashauri ya Ilongero