Kasomi
JT Founder
Taarifa Rasmi Kutoka Jimbo la Kigamboni
Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa na Kateti S. H., Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigamboni, mafunzo hayo yanakusudia kuwajengea uwezo watendaji watakaosimamia vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani wa mwaka 2025. Mafunzo haya ni utekelezaji wa masharti yaliyowekwa chini ya kifungu cha 6(6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024, pamoja na kanuni zake za mwaka 2025.
Lengo kuu ni kuhakikisha kila msimamizi, msimamizi msaidizi, na karani mwongoza kituo cha kupigia kura anapata uelewa wa kutosha kuhusu majukumu yake, kanuni za uchaguzi, na utaratibu wa kusimamia zoezi hilo kwa weledi.
Mafunzo hayo yatafanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa mujibu wa ratiba ifuatayo:
Tarehe 25 Oktoba 2025: Mafunzo kwa Makarani Waongoza Kituo cha Kupigia Kura
Tarehe 26 – 27 Oktoba 2025: Mafunzo kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi
Kwa ratiba hii, kila kundi litakuwa na nafasi ya kujifunza kwa undani kuhusu taratibu za uchaguzi, maadili ya utumishi wa muda, na mbinu bora za kushughulikia changamoto zitakazojitokeza siku ya uchaguzi
Bofya Hapa Kupakua Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jimbo la Kigamboni