Pole kwa Familia Zilizopoteza Wapendwa Kipindi cha Uchaguzi Tanzania
Katika kipindi cha uchaguzi, taifa letu huingia kwenye wakati wa maamuzi makubwa ya kisiasa na kijamii. Hata hivyo, ni huzuni kubwa kwamba katika harakati hizi, baadhi ya Watanzania wamepoteza maisha yao.
Ni vigumu kuelezea...
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeendelea na maandalizi muhimu ya kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa uwazi, haki, na ufanisi.
Miongoni mwa hatua muhimu...
Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025 Singida
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ilongero, mkoani Singida, ametangaza rasmi majina ya watu waliochaguliwa kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 chini ya uratibu wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC). Walioteuliwa ni Wasimamizi wa Vituo...
Taarifa Rasmi Kutoka Jimbo la Kigamboni
Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa na Kateti S. H., Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigamboni, mafunzo hayo yanakusudia kuwajengea uwezo watendaji watakaosimamia vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani wa mwaka 2025...
Orodha Ya Majina Ya Walioteuliwa Kuwa Makarani Waongazaji Wapiga Kura Na kuhudhuria mafunzo uchaguzi mkuu 2025
Bonyeza hapa kuona Majina ya Makarani
Orodha Ya Majina Wasimamizi Na Wasimamizi Wasaidizi Wa Vituo
Bonyeza hapa kuona Majina ya Wasimamizi Wakuu na Wasaidizi Wa Vituo
Fahamu mchakato mzima wa uchaguzi Tanzania 2025
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unafanyika kila baada ya miaka mitano na ni tukio muhimu linalohusisha wananchi kuchagua Rais wa Jamhuri, wabunge wa Bunge la Taifa, na madiwani.
Kwa upande wa Tanzania Bara, mchakato mzima unasimamiwa na Tume Huru ya...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya Usaili kwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Waongozaji imebadilika kutoka tarehe 08/10/2025 badala yake usaili utafanyika tarehe 10/10/2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Aidha, vituo vya kufanyia usaili...
KUITWA KWENYE USAILI
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi...
KUITWA KWENYE USAILI
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025,
Msimamizi...
Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kidato cha Tano, 2025 TAMISEMI Form Five Selection | Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025/2026 – Mwongozo Kamili kutoka TAMISEMI.
Majina ya wanafunzi waliofaulu na kupangiwa kuingia Mwaka wa 5 kwa mwaka wa masomo 2025/2026 ni miongoni mwa taarifa...
Mbivu na mbichi ya Profesa Janabi katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika
Uchaguzi wa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unafanyika Mei 18 huko Geneva Uswisi.
Mataifa wanachama wanapiga kura katika kikao cha pili maalum cha kamati ya kikanda ya shirika hilo...
Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa majimbo mawili ya uchaguzi, Mosi jimbo la Ukonga limegawanywa na kuanzishwa jimbo la Kivule, Pili jimbo la Mbagala limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Chamazi.
Mkoa wa Dodoma limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo jimbo la uchaguzi l Dodoma Mjini...
Mtazame na msikilize Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa. Mkono unawekwa juu ya Injili yaani maandiko matakatifu.
Tazama video
MUHTASARI WA HOJA: MADHARA YA KUTOSAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI
Anaandika Faida Potea✍️
1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria
Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024.
Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima amesema Chadema ambayo haikusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, haitashiriki Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu na chaguzi zote ndogo zitakazofuata kwa muda wa miaka mitano.
Kanuni hizo zinasainiwa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo kwa Tanzania Zanzibar. Kazi...