Advertise here

Mashine ya juice ya miwa bei ya jumla

images - 2025-12-30T135251.926.jpeg

Habari wakuu Tumewaletea mashine ya juice ya miwa ya kisasa Kwa bei ya jumla

Mashine ya umeme ya kutengeneza juice ya miwa original bei 1,200,000/=

Inapiga kazi mda mrefu Kwa haraka na Matumizi kidogo Sana ya umeme,
7500watt, 65kg

Ni rahisi Sana kutumia unasukuma Tu miwa Kwa mkono inakamua na kuchuja

Utaipata wap?.. Tupo kariakoo mtaa wa muheza na masasi call 0692436124

Tunatuma mzigo mikoa yote Kwa uaminifu mkubwa, Dar unapokea mzigo ndo unalipia karibu sana.

Biashara ya juice ya miwa ni fursa nzuri ya kufanya mapato, na kuchagua mashine nzuri ni hatua muhimu ya msingi. Mashine bora inakusaidia kuongeza tija, kupunguza hasara, na kutoa huduma bora kwa wateja wako. Kwa kuitunza vizuri, mashine yako itakuhudumia kwa miaka mingi na kukufanya faida kubwa

Shukrani na Karibu sana boss zangu


 
Back
Top