dunia

  1. Kasomi

    Ratiba ya Mechi ya Mshindi wa Tatu na Fainali ya Kombe la Dunia 2026

    Ratiba ya Mechi ya Mshindi wa Tatu na Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT): Mechi ya Mshindi wa Tatu ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ด England ๐Ÿ“… Jumapili, 19 Julai 2026 ๐Ÿ•› Saa 12:00 usiku (Tarehe 18 kuamkia tarehe 19 ) ๐Ÿ“ Hard Rock Stadium, Miami, Marekani ๏ฟฝ Talksport +1 ๐Ÿ† Fainali ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท...
  2. Kasomi

    Ratiba ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT)

    Ratiba ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Tanzania (EAT) ๐Ÿ† Nusu Fainali ya Kwanza ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ufaransa ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Uhispania ๐Ÿ“… Jumanne, 14 Julai 2026 ๐Ÿ•™ Saa 10:00 usiku ๐Ÿ† Nusu Fainali ya Pili ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina ๐Ÿ“… Jumatano, 15 Julai 2026 ๐Ÿ•™ Saa 10:00 usiku Washindi wa mechi hizi...
  3. Kasomi

    Ratiba ya mechi za Robo Fainali (8 Bora) za Kombe la Dunia 2026

    Hii ndiyo ratiba ya Robo Fainali (8 Bora) ya Kombe la Dunia 2026 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT): ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ufaransa ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco โ€” Alhamisi, 9 Julai saa 11:00 Usiku ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Uhispania ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Ubelgiji โ€” Ijumaa, 10 Julai saa 10:00 Usiku ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway ๐Ÿ†š ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England โ€” Jumapili, 12 Julai saa 12:00 usiku...
  4. Kasomi

    Ratiba rasmi ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia 2026

    Ratiba rasmi ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia 2026 ni kama ifuatavyo: Jumamosi, 4 Julai ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco โ€” saa 2:00 usiku Jumapili, 5 Julai ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Paraguay ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ufaransa โ€” saa 6:00 usiku ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway โ€” saa 5:00 usiku Jumatatu, 6 Julai ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Meksiko ๐Ÿ†š ๐Ÿด England โ€” saa 9:00 usiku...
  5. Kasomi

    Ratiba ya mtoano 32 bora kombe la Dunia 2026

    RATIBA TAREHE PAMOJA NA MUDA WA HATUA YA 32 BORA FIFA World Cup 1. ๐Ÿ—“๏ธ 28/06/2026๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆSouth Africa ๐Ÿ†š Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ โฐ Saa 22:00pm E.A.T 2. ๐Ÿ—“๏ธ 29/06/2026 ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทBrazil๐Ÿ†š Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต โฐ Saa 20:00pm E.A.T ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ชGermany ๐Ÿ†š Paraguay ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ โฐ Saa 23:30pm E.A.T 3. ๐Ÿ—“๏ธ30/06/2026๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑNetherlands ๐Ÿ†š ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Morocco โฐ Saa...
  6. Kasomi

    Ratiba ya Mechi za Round of 32 Kombe la Dunia 2026 hatua ya mtoano

    Ratiba ya Mechi za Round of 32 Kombe la Dunia 2026 ๐ŸŒ๐Ÿ† ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina ๐Ÿ†š Cape Verde ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France ๐Ÿ†š Sweden ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England ๐Ÿ†š DR Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa ๐Ÿ†š Canada ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Portugal ๐Ÿ†š Croatia ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil ๐Ÿ†š Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain ๐Ÿ†š Austria ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands ๐Ÿ†š Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Colombia ๐Ÿ†š Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany ๐Ÿ†š...
  7. Kasomi

    Ratiba ya Kombe la Dunia 2026 Mechi Zote, kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT)

    Ratiba ya Hatua ya Makundi โ€“ Kombe la Dunia 2026 Alhamisi, 11 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 22:00 Mexico vs South Africa A Estadio Azteca, Mexico City Ijumaa, 12 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 05:00 Korea Republic vs Czechia A Estadio Akron, Guadalajara 22:00 Canada...
  8. Kasomi

    TANZIA Mama mzazi wa Magufuli Afariki Dunia

    Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mrefu. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli...
  9. Kasomi

    Shakira ndiye Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia akihusika katika nyimbo 4 za kombe la Dunia

    Shakira amehusika katika nyimbo za Kombe la Dunia mara nne (4) hadi kufikia mwaka 2026, akirejea kama "Malkia wa Nyimbo za Kombe la Dunia". Hii hapa historia yake: 2006 (Ujerumani) Aliimba "Hips Don't Lie / Bamboo" kwenye sherehe za kufunga. 2010 (Afrika Kusini) Aliimba wimbo rasmi "Waka Waka...
  10. Kasomi

    TANZIA Mwanzilishi wa CNN Ted Turner Amefariki Dunia

    Ted Turner, gwiji wa vyombo vya habari na mfadhili aliyekuwa mwanzilishi wa CNN mtandao wa kwanza wa habari wa saa 24 uliobadili kabisa tasnia ya televisheni amefariki dunia kwa amani siku ya Jumatano, akiwa amezungukwa na familia yake, kulingana na taarifa kutoka Turner Enterprises. Alikuwa na...
  11. Kasomi

    TANZIA Msanii Spack afariki Dunia

    Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack', amefariki dunia leo Aprili 27, 2026 nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam alipokuwa anapoishi. Meneja wa msanii huyo Abdulrahman Hassan almaarufu Malefti amethitibitisha kifo cha msanii huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa...
  12. Kasomi

    Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2026, ambalo linatangazwa kama FIFA World Cup 26, litakuwa Kombe la Dunia la 23 la FIFA, ambalo ni michuano ya soka ya wanaume inayoshindaniwa na timu za kitaifa za vyama vya wanachama wa FIFA kila baada ya miaka minne. Michuano hiyo itafanyika kuanzia Juni 11...
  13. Kasomi

    TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege amefariki Dunia

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jimbo la Kilwa Kusini kupitia Chama cha CUF, Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la Bwege, amefariki Dunia, Machi 30, 2026 akiwa hospitali ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Enzi za uhai wake Bwege amewahi kutumikia...
  14. Kasomi

    TANZIA Polycarp Kardinali Pengo Amefariki Dunia

    Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa usiku wa kuamkia leo ljumaa, Februari 20, 2025 na Askofu Kuu...
  15. Kasomi

    Benki ya Dunia: Kenya yashika nafasi ya 10 kati ya nchi maskini duniani

    KENYA: Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani ambapo taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo...
  16. Kasomi

    Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia

    Hizi ndizo Sarafu 3 Zenye Thamani Zaidi Dunia 1- Kuwaiti Dinar (KWD) Hii ndio Sarafu ya thamani ya juu zaidi, inayotokana na akiba kubwa ya mafuta, ambapo KWD 1 ni sawa na TZS 8,345 2- Bahraini Dinar (BHD): Hii ndio Sarafu ya pili kwa Thamani Duniani, inayoungwa mkono na uchumi imara ambapo...
  17. Kasomi

    Dunia kukumbwa na Giza kwa Muda wa Dakika Sita ifikapo 2027

    Dunia inajiandaa kushuhudia tukio adimu la anga la Kupatwa kwa Jua la karne, litakalotokea mwaka 2027, Dunia kukumbwa na giza dakika 6 ifikapo Agosti 2, 2027 likitajwa kama The Great North African Eclipse. Tukio hili linatarajiwa kuwa kupatwa kwa jua kwa muda mrefu zaidi kuwahi kushuhudiwa...
  18. Kasomi

    TANZIA Jenista Joakim Mhagama afariki Dunia

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu ametangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama, kilichotokea leo December 11, 2025 Jijini Dodoma. "Kwa masikitiko makubwa, naomba kutangaza kifo cha Mbunge wa Peramiho Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama...
  19. Kasomi

    Kisa cha Mchungaji Joseph Kibweteere na Mwisho wa Dunia

    Mwaka 1995 aliyewahi kuwa Muumini wa katoliki Joseph Kibweteere wa Uganda Alitangaza Kuwa Mwaka 2000 Ndio Mwisho wa Dunia, Hivyo Kanisa Lake Linauza Vyeti Kama Ndiyo Ticket ya Kuingia Mbinguni. Siku Ilipofika Watu Walijaa Kanisani, Akafunga Milango na Madirisha Kisha Akatia Kiberiti Kanisa Zima...
  20. Kasomi

    TANZIA MC Pilipili Afariki Dunia

    Mshereheshaji na mchekeshaji maarufu, Emmanuel Mathias anayejulikana kama MC Pilipili amefariki dunia leo Novemba 16,2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini Dodoma ambapo jioni ya leo alitarajiwa kwenda kufanya kazi yake ya ushereheshaji jijini humo, lakini akafikvwa...
Back
Top