Kasomi
JT Founder
Huwenda ni ngumu kumuacha Kwa sababu ulimpenda kutoka kwenye uvungu wa moyo wako!
Unampenda na upotayari kumsamehe kosa lolote!
Lakini yeye anaonyesha kutokuwa tayari kuendelea na penzi lako! Hakuonyeshi upendo unaostahili! Anaonyesha kutokufurahia penzi lenu!
Ni kweli unampenda sana na hata sie twajua lakini kuendelea kumbembeleza kubaki na wewe sio suruhisho la kumfanya akupende zaidi na aendelee kukupenda.
Unavyoendelea kumng'ang'ania hauongezi kupendwa kwako ila unazidi kuishusha thamani yako kwake. Yeye anakuona kama unajikomba na kujipendekeza na anaboeka na hilo.
Sasa nataka nikupe dawa ya hiyo kitu Leo. Nisikilize vizuri.
Hivi unajua binadamu anatabia ya kukitilia kitu manani pale tu atakapokipoteza? Yes ni kweli.
Huwa ni ngumu watu kuona thamani ya kitu wakati wanacho hapo jirani, ila siku kikipotea ndio watakikumbuka.
Kwa sababu anaboeka na uwepo wako basi wewe mwachie space, mpe uhuru na usimsumbue tena.
Wewe rudi na jitafakari, jiboreshe, jistawishe, fanya kazi Kwa bidii, ule muda uliokuwa unampa uongeze kwenye muda wa kazi. Kuwa busy sana kuliko zamani .
Ili kama alizani utakonda , akute mashavu yananyama za kutosha,????
Mwache aende na wewe usiteseke tena Kwa ajili ya kipofu asiyejua kuona thamani .
Jipende , jijari, Vaa vizuri pendeza, hakikisha unanenepa kiasi, meno yako yanangaa, unaongezeka weupe Kwa mbali, nywele zako zinakaa vizuri.... Aahhh wewe ! Hakikisha unamwacha na maswali kichwani kwake ambayo hatojua sehemu ya kupata majibu.
Sikufundishi kukomoa ila nataka nikueleze kwamba maisha ni magumu sana Kwa vipofu wasioona thamani ya mtu.
Credit: Emmanuel Minga