Kasomi
JT Founder
JE WAJUA?
Kama ulikua huwajui wanaume wa AFRICA na vituko vyao wacha nikufahamishe""
1). Wanaume wakatili zaidi Afrika.
Wanaume katili Africa ni wa kutoka Nchini ANGOLA lakini pia Warundi na Wanubi (Sudan),
Watu wa jamii hizo Ukiwakosea ni kipigo au kifo,
Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2). Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika.
Wanaume wanaojali zaidi familia zao ni wa kutoka Nchini SENEGAL,
Hawa jamaa kitu ukatili wa jinsia hakipo kabisa kichwani,
Hapa wadada munaopenda kudeka nawashauri muolewe na Hawa jamaa.
3). Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao Afrika.
Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao ni Wakenya,
Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea kipigo kutoka kwa wake zao,
Nchini Kenya Kuna chama kabisa Chama cha kutetea haki za wanaume,
Hadi sasa Chama hicho kina wanachama zaidi ya laki 8.
4). Wanaume wanao Sali zaidi Afrika.
Wanaume wanaomjua mungu zaidi Afrika ni Wasomali,
Kati ya wanaume 10 wa kisomali, 8 huswali swala 5 kila siku,
Hata katikati ya vita muda wa swala ukifika lazima watasimamisha vita wanaswali.
5). Wanaume matapeli zaidi Afrika.
Brother wanaume wanaoongoza kwa utapeli Africa ni Wanigeria,
Kati ya wanaume 10 wa Nigeria, 6 ni matapeli wa kutupwa,
Hata kama ni Askofu ukijilengesha anakutapeli tu.
6). Wanaume wanaopenda dezo na kulelewa zaidi Afrika.
Wanaume wanaopenda kulelewa zaidi Afrika ni Wakongo,
Hawa wakioa mwanamke mwenye pesa huhamia kwa mke kabisa,
7). Wanaume wasomi zaidi Afrika.
Wanaume wasomi zaidi Afrika brother ni Washelisheli (Sychelles),
Kwa kila wanaume 100, wanaume 40 wana degree,
Tanzania kila wanaume 100 watatu wana degree.
8). Wanaume washamba zaidi Afrika.
Wanaume wanaoongoza kwa ushamba Africa ni Waeritria,
Ukienda kanisani/msikitini na gari lako jipya,
Wanaahirisha kusali washangae gari kwanza.
9). Wanaume wachawi na Washirikina zaidi Afrika.
Wanaume wachawi zaidi Afrika ni Wagambia,
Rais wao Yahya Jammeh hutumia waganga na wapiga ramli,
Kama sehemu ya walinzi wake na washauri wakuu.
10) Wanaume wanaojipodoa zaidi Afrika.
Wanaume wanaoongoza kwa kujipodoa Africa na hata pengine Duniani ni Wakongo,
Hawa jamaa kwa kujipodoa ni noma hata Wanawake wenyewe hawatii mkono,
Ukienda gheto la mkongo unaweza kudhani duka la vipodozi limehamia hapo Ndani.
11) Wanaume wezi zaidi Afrika.
Wanaume wanao ongoza kwa wizi Afrika ni Watanzania,
Mtanzania ukimpa kazi ya kujenga nyumba usipo msimamia ujue umeliwa,
Ukimpa kazi ya kufyatua tofali Kama mifuko ni kumi,
Atatumia mitano lakini matofali yako idadi itatimia,
Kuhusu ubora yeye haimuhusu na mifuko mitano ataiba.