Kasomi
JT Founder
u"Mwanzo, nilitaka kijana wangu aichezee timu ya taifa ya Cameroon, lakini mtu fulani katika shirikisho la mpira wa miguu Cameroon akataka nitoe kiasi cha pesa(rushwa) ambacho sikuwa nacho ili aweze kuichezea timu hiyo, timu ya Ufaransa haikutaka pesa yoyote" - alisema baba mzazi wa Kylian Mbappe 2018
Mbappe alizaliwa Ufaransa na wazazi ambao baba yake anatokea nchini Cameroon huku mama yake akitokea nchini Algeria
Mbappe alizaliwa Ufaransa na wazazi ambao baba yake anatokea nchini Cameroon huku mama yake akitokea nchini Algeria