Maana maarufu ya "Computer hacker /hacker"

Kasomi

JT Founder
Maana maarufu ya "Computer hacker /hacker ni mtu ambaye anadukuwa taarifa zako bila muhusika kujua (anaingia taarifa zako za mitandaoni na kuzichukuwa au kuzitumia bila muhusika kutambua). Watu wengi katika dunia ya sasa wanatumia mitandao/internet katika shughuli zao za kitaasisi, shughuli binafsi, shughuli za makampuni ikiwemo kutunza taarifa katika simu, computer kununua au kuuza online n.k.
Watu wengi wamekuwa wakiamini hacking ni tabia mbaya (illigitemate),Wengine wamefikia hatua ya kuamini ili Uwe hacker unapaswa kuwa genius wa computer kitu ambacho sio Kweli hata wewe unaweza kuwa hacker.

Lakupaswa kujua kuna aina za hacker Tatu, Kati ya hizo kuna aina kuu mbili
1.Black hat hacker (black ninja )-->huyu ni mtu ambaye Mara nyingi huingia katika Mitandio kuiba taarifa zako kwa maslahi yake binafsi (huiba data zako, au information zako katika either simu yako au computer yako )

2.White hat hacker (ethical hacker) -->huyu ni mtu ambaye hufanya kazi katika Kampuni kwa ajili ya kutafuta dosari(flaws) katika mifumo ya computer na hutumia mbinu zile zile za black hat hacker.

Maana Haswa ya hacker ni mtu anaye tatua tatizo kwa kupitia kubadili mifumo ya software au hardware, Lakini wote hii maana halisi ya Hacker na hii maana ya hacker (Kama wadukuzi wa taarifa) wote hutumia njia Moja.

Katika kukua kwa mtandao makampuni mengi, watu wengi wamekuwa wakiajiri hacker (tena proffesional hacker) kwa ajili ya kujilinda katika mifumo yao ya computer.

Lakini pia kuna Grey hat hacker huyu yupo Kati ya black hat hacker na white hat hacker huyu huingia katika mifumo ya computer kudukua taarifa bila ruhusa ila sio katika lengo la kuharibu Wakati mwingine hacker anaweza kuingia katika mfumo wa computer ili kuonesha utabe tuu Kama anaweza na sio kuiba au kuharibu.

Ili Uwe hacker unapaswa kujua nini na nini katika elimu.
1.basic computer
2.phone system na computer system
3.ujue kutumia Linux OS
4.uwe na ujuzi wa data base angalau Oracle au MySQL
5.ujuzi wa network
6.pia scripti
 
Back
Top