Advertise here

Mfahamu January Makamba

Kasomi

JT Founder
January Makamba (alizaliwa 28 Januari 1974) ni mwanasiasa na Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Anawakilisha Jimbo la Bumbuli, katika wilaya ya Lushoto, mkoa wa Tanga.

Wasifusi zaidi upo katika tovuti ya Bunge.

Screenshot_20220401-122705~2.png

picha (Screenshot) kutoka tovuti ya Bunge
 
Back
Top