Advertise here

Babu zetu walifanikiwa Kutofautisha kati ya Punda na Pundamilia

Kasomi

JT Founder
Babu zetu walifanikiwa Kutofautisha kati ya Punda na Pundamilia.
1739396733480.jpg

Walizingatia;
-Yupi anawaza kuishi nae
-Yupi anaweza kunitii
-Yupi anaweza kunifanyia kazi
-Yupi atafata ninachokisema
-Yupi atakuwa muaminifu kwako
-Yupi ambaye hatonitoroka
-Yupi naweza kumshibisha

Mwisho wakamchagua Punda na kuachana na Pundamilia. Hawakuangalia uzuri rangi zake kwa sababu haitoshi.

Vijana wengi wa siku hizi hatutaki Kutofautisha yupi ni Punda na Pundamilia.

Kifupi huwezi kumfuga Pundamilia. Kama unaweza kumtumia halafu muache huko huko porini na sio kumpeleka nyumbani kwako.

Usichanganyikiwe na urembo, tako na rangi hivyo havitoshi kuwa kigezo cha kumpa thamani huyu Pundamilia.

Siku moja isiyo na jina atakimbia bila sababu, atarudi mtaani alipopazoea na hakuna kitu utaweza kumfanya.

Pundamilia hafugwi, Pundamilia hafugwi.

Hii haihusiani na Punda.

Copy & paste kutoka Mtandaoni
 
Upvote 0
Back
Top