FUTURE PRESIDENT
Member
Tuhuma za wizi na ubadhirifu nchini zinaendelea kusikika Kila siku,je ni kusema vijana wetu jwtz wanalinda mipaka Ili wezi wasibugudhiwe!!?wao wanapolinda mipaka Kwa jashonna damu wanaridhishwa na usimamizi was rasilimali zetu nchini!!?
Wanasiasa wanatimiza wajibu wao wa kulinda rasilimali zetu!!?
Nini kifanyike!?vijana wetu waendelee kulinda mipaka huku wezi wakifurahia uhuru was kuiba bila bughudha!!?
KAZI na utu ,tunasonga mbele! Ni kweli utu unatumika kulinda rasilimali zetu!!?