Kasomi
JT Founder
WATU HAWA WALIFANYA MAKUBWA KWENYE BONGO MOVIE ILA TUMEWASAHAU
J-PLUS/JIMMY MASTER (JIMMY MPONDA)
Huyu Jamaa ni hatari sana na anavipaji kibao, Jamaa ni Producer, Director, Story Writer na Muigizaji Pia. Tangu aanze sanaa ya Filamu Mwaka 1994 mpaka sasa anafilamu kali kama vile Shamba Kubwa (1994), Unga Adui(1995), KIFO HARAMU (1997), USIA (2003), Misukosuko(2005), Double J (2012), The foundation, (2017)
Mwaka 2005, Jimmy Master alijizolea umaarufu mkubwa sana baada ya kutoa Movie yake ya 5 ambayo ilipewa jina la “MISUKOSUKO” ambapo ndani ya Movie hiyo alimshirikisha Sebastian Mwanangulo, ambaye naye umaarufu wake ulianzia hapo alipobamba na jina la “Inspector Seba" pia kumbuka Jina la J PLUS lilizaliwa kwenye Movie hiyo ya “Misukosuko”.
Misukosuko ilisisimua Watanzania kiasi kwamba kulitokea na mgawanyiko wa mashabiki yaani kama team za mpira, Mashabiki wa“J Plus” na Mashabiki wa “Inspector Seba” hii ni kutokana na mpambano wao mkali katika filamu hiyo.
Wabongo Walifika mbali zaidi, ilivyoisha Part one wakaomba waletewe Part two, Ikaisha wakaomba Part Three.
Filamu hii inastory Moja kali sana ambayo inakufanya Usisinzie kabisa wakati ukiitazama, Imagine majamaa Wanatoka Dar wanaenda Mererani, Wakati kwasasa ni Sio rahisi kuona Bongo Movie ambayo Imetengenezwa kwenye zaidi ya Mkoa mmoja.
Jimmy Mponda amemotivate watu wengi sana kuingia katika filamu hasa za mapigano lakini mpaka sasa sijaona hata Media zikimtafuta, Au kupatiwa hata tuzo ya Heshima.