Mtuhumiwa wa Mauaji ya Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' ameongea kwa mara ya Kwanza

Kasomi

JT Founder
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Tupac Shakur, Duane Davis 'Keffe D' ameongea kwa mara ya kwanza akiwa gerezani baada ya kukamatwa 2023 akisema hana hatia na anataka kuwa uraiani.
1741426222578.jpg

Keffe D anasema kesi hiyo ya muda mrefu imekua haina ushahidi mathubuti imemsababishia kusimamisha shughuli zake baada ya kukamatwa.

Ameongeza kusema anataka ku-enjoy maisha yake akiwa nje na watoto na wajukuu zake na, kuangalia michezo ya mpira wa miguu na kikapu.

Rapa Tupac Shakur 'Makaveli' alizaliwa Juna 16, 1971 na alifariki kwa kushambuliwa na risasi Septemba 13, 1996.

Chanzo: EATV
 
Back
Top