Kasomi
JT Founder
TRUESTORY
Niliwahi kupata msala fulani nikawa nasakwa na wazee wa kazi
Msala niliupatia Mbeya lakini File
likatumwa Dar……Kwahiyo mbungi ikawa inachezwa Dizonga hapo kimya kimya unaambiwa kama watu wanaaga maiti!
Mi sina nijualo!!
Nina kawaida mara nyingi namba ngeni siokoti konga, labda hadi mtu aanze na intro kunitext kwanza…… Wazee
wakawa wakivuta waya siminyi cha kijani!
Kesi akakabidhiwa mwana mmoja kituo cha kati apo, mwana kasomea Cuba….. yeye akaja na strategy tofauti akaamua apite na mlango wa uwani….Akamvutia waya Stamina
Stamina akaokota Tambo,
Mwana akam-set Stamina yeye ni
promota anaitaka Rostam show Mwanza!
Stamina akajaa kwenye mfumo mamaeee
NIMEISHAAAA

Sema tu Stamina hakuwa na machale, maana naskia jamaa hela aliyotajiwa alikubali fasta sana, hakunaga promota wa hivo bana lazima bargaining i-take time kidogo mvutane!!
Na chakushangaza jamaa akamwambia Stamina nataka kulipa leo leo nigeuze Mwanza nikaanze maandalizi ya show
Lakini lazima muwepo nyote na Roma kuna mkataba lazima msign wote pamoja!!
Back to me….. Mimi jana yake nilikuwa vitu sana, kwahiyo nimezima mwili hadi simu, Stamina hanipati, akampigia Mama Ivan.
Oyaaa muamshe mumeo anapishana na gari la Bank, mwambie awashe simu fastaa kuna mchongo!!
Mluguru ana njaa sana yule angejua kumbe anaenda kunitia kiberiti!!
ITAENDELEA
Roma Mkatoliki
Toa maoni yako