Omar Hussein 'Keegan' ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo

Kasomi

JT Founder
PAMOJA na kupigwa Dabi ya Kariakoo 113 kuanzia mwaka 1965-2024, lakini unaambiwa ni Omar Hussein ‘Keegan’ ndiye nyota anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi wa muda wote katika Dabi ya Kariakoo, akitupia sita na zote ni dhidi ya Simba.
1741764826920.jpg

Keegan alihamia Simba baadae lakini hakuongeza idadi hiyo ya mbao, akifuatiwa na nyota wawili wote wakiwa ni wa Simba, Edward Chumila na Dua Said waliokuwa na zali la kuitungua Yanga kila mmoja akiwa na mabao matano, huku kukiwa na mastaa wengine waliofunga mabao manne kama Sekilojo Chambua, Said Mwamba ‘Kizota’, Abeid Mziba, Mussa Hassan Mgosi, Jerson Tegete na Madaraka Seleman ‘Mzee wa Kiminyio’.

Chanzo: mwanaspoti
 
Back
Top