Waungwana hivi hii JamiiTalk inapataje faida ilihali Members wanaingia bure na sioni Matangazo kama ya Google AdSense?
Huu Mtandao unajiendeshaje? Majibu Tafadhali.
Wenyeji kama akina
Emmanuel Dullah Kilosa Mtata na wengine kama
Kasomi majibu Tafadhali