Advertise here

JamiiTalk au mmliki wake anapataje Faidi?

Sijajua Zaidi hapo Chini Ndio Matangazo anayopata (Matangazo Binafsi) au ngoja aje kujibu zaidi Kasomi
IMG-20220704-WA0000.jpg
 
Waungwana hivi hii JamiiTalk inapataje faida ilihali Members wanaingia bure na sioni Matangazo kama ya Google AdSense?

Huu Mtandao unajiendeshaje? Majibu Tafadhali.

Wenyeji kama akina Emmanuel Dullah Kilosa Mtata na wengine kama Kasomi majibu Tafadhali
Habari Mkuu,
Asante kwa kuuliza swali kama hili. Kwa sas JamiiTalk inaendeshwa kw juhudi za Wasimamizi nasi vinginevyo, kwa mfano kwa sasa JamiiTalk hatuna Matangazo ya Google kama ulivyo sema.

Hivyo JamiiTalk inategemea Wadau wake ili kujiendesha kw Mfano hata wewe ikikupendeza kuchangia JT unaweza ni PM kukupa utaratibu Jinsi ya kuchangia.

Pia Unaweza lipia kuwa premium Member see BeastBoy na hapo ndio JamiiTalk itaweza kujiendesha
Sijajua Zaidi hapo Chini Ndio Matangazo anayopata (Matangazo Binafsi) au ngoja aje kujibu zaidi Kasomi
View attachment 233
Mtata hilo si Tangazo ambalo linaingia chochote bali hilo ni Moja ya Tangazo ambalo ni mjumuiko wa JamiiTalk.
Unaweza ku finance JamiiTalk ikikupendesha au kualika Watu kui finance JT
 
Back
Top