Advertise here

Search results

  1. Kasomi

    Mfahamu Jeffrey Epstein anaye wanyima usingizi Marais na Mabilionea Duniani

    Epstein alikufa katika gereza la New York kabla ya kuhukumiwa kwa mashtaka dhidi yake. Miaka kadhaa baadaye, mamilioni ya hati juu yake ziliwekwa wazi. Kwa hivyo ni nani alikuwa mshauri huyu wa kifedha na miunganisho yenye nguvu kama hii? "Mimi si mtu mwenye kudhalilisha kingono, mimi ni...
  2. Kasomi

    Historia ya Jeffrey Epstein

    Jeffrey Edward Epstein alizaliwa tarehe 20 Januari 1953 na kufariki tarehe 10 Agosti 2019 akiwa na umri wa miaka 66 alikuwa mfadhili wa kifedha kutoka Marekani, ambaye pia alijulikana kama mhalifu wa kingono dhidi ya watoto, mbakaji wa kurudia, na mfanyabiashara wa usafirishaji haramu wa...
  3. Kasomi

    Top 10 strongest currencies in the world in 2026

    Global currency strength is often measured by how much one unit of a currency is worth in US dollars, with some of the world’s currencies ranking among the strongest. Using exchange rates as of February 2026, here are the world’s strongest currencies, ranked by the amount of dollars each unit...
  4. Kasomi

    Utofauti Kati ya Fixed Assets na Real Estate Property

    UTOFAUTI KATI YA FIXED ASSETS NA REAL ESTATE PROPERTY Watu wengi huchanganya maneno haya mawili kwa sababu yanafanana, lakini hayamaanishi kitu kimoja. Ukweli ni kwamba real estate ni sehemu ya fixed assets, lakini fixed assets si zote ni real estate. Utofauti wa haya unatokana na mambo na...
  5. Kasomi

    Tiktok yaanzisha AI inayoitwa Tiktok Tako

    Kampuni ya TikTok inafanya majaribio ya AI chatbot mpya ndani ya app yake, inayoitwa Tako. Chatbot hii itafanya kazi kwa ndani ya TikTok bila mtumiaji kuondoka kwenye app. 🔹 Tako inakusudiwa kusaidia watumiaji: kuzungumza na AI moja kwa moja kupata majibu ya haraka kupata taarifa au maelezo...
  6. Kasomi

    Maajabu ya Nyangumi wa Bluu (Blue whale)

    Nyangumi Bluu ni kiumbe wa ajabu kiasi kwamba namba zake zinaonekana kama hadithi za kusadikika. Hapa kuna baadhi ya maajabu yanayomfanya awe kiumbe wa pekee zaidi kuwahi kuishi duniani Je, unajua Licha ya ukubwa wao, Nyangumi wa Bluu hawana meno. Badala yake, wana kitu kinachoitwa baleen...
  7. Kasomi

    Ifahamu Nchi kubwa zaidi Duniani

    Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi...
  8. Kasomi

    Watu wanne waiba Ambulance Musoma

    HABARI Baada ya kufanya operesheni, doria na misako katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kubaini, kuzuia na kutokomeza uhalifu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata wahalifu wanaotuhumiwa kwa tuhuma za wizi wa gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) la Hospitali ya Manispaa ya...
  9. Kasomi

    Musukuma: Wastaafu wasiteuliwe waachie nafasi kwa vijana

    MBUNGE wa Geita Joseph Kasheku Musukuma ameishauri serikali kuacha kuteua wenyeviti wa bodi watu waliostaafu bali wateuliwe vijana wenye maono mapya yatakayolisaidia taifa kupiga hatua. Msukuma, amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia mjadala kuhusu mpango elekezi wa maendeleo...
  10. Kasomi

    Benki kuu ya Iran yatoa noti mpya ya Rial Milioni 5 sawa na Shilingi elfu saba ya kitanzania

    Benki Kuu ya Iran imeanza kusambaza noti mpya yenye thamani ya rial milioni 5, ambayo kwa kiwango cha soko ni sawa na takribani dola 3.10 pekee. Hii ndiyo noti kubwa zaidi kuwahi kutolewa nchini humo, ikilenga kurahisisha miamala ya pesa taslimu wakati sarafu ya taifa ikiendelea kuporomoka...
  11. Kasomi

    Hili ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani

    Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu Hilo ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani. Liko karibu na Porangahau, Hawke's Bay, na linatokana na hadithi ya...
  12. Kasomi

    UDOM yaongoza Cyber Champions 2025/26 Kitaifa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa jumla katika shindano la Cyber Champions 2025/26, lililoratibiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), baada ya kutoa washindi wote wanne wa kitaifa katika mashindano hayo yaliyohusisha wanafunzi kutoka vyuo 29 nchini. Washindi hao kutoka...
  13. Kasomi

    NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026

    NECTA Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2025/2026 Bonyeza hapa kuona matokeo
  14. Kasomi

    Dalili na Dawa ya fangasi kwenye mdomo na ulimi

    Utajifunza dalili za fangasi mdomoni na ulimini, sababu za fangasi wa mdomoni na ulimini, matibabu yeke na njia za kukabiliana nao Dawa ya fangasi kwenye mdomo na ulimi Fangasi wanaweza kuathiri sehemu yeyote kwenye ngozi ya mtu. Kuanzia vidole, kichwa, kwapa, sehemu za siri na mapajani...
  15. Kasomi

    Basilisk (Basiliscus basiliscus) Mjusi anayeweza kutembea juu ya Maji

    Basilisk ama (Basiliscus basiliscus) ni mjusi anayepatikana katika misitu ya mvua ya Amerika ya Kati na Kusini. Anafahamika zaidi kama mjusi wa Yesu Kristo (Jesus Lizard) kwa sababu ana uwezo wa kukimbia juu ya maji, Anatumia zaidi ngozi yake pana ya miguu ya nyuma kuongeza eneo la kukanyaga...
  16. Kasomi

    Vyuo vikuu Bora Afrika Mashariki

    Kulingana na takwimu iliyotolewa hivi karibuni na jarida la Times Higher Education la nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Makerere cha Uganda, kinashika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika ukanda wa Afrika Mashariki. Nafasi ya pili imekwenda kwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) huku Chuo Kikuu cha Afya...
  17. Kasomi

    Kwa nini Bili za maji husoma hata kama hutumii au maji yamekata?

    Hii ndio sababu unatumiwa bili ya Maji hata usipotumia Kuna muda Maji hua yanakata lakini baadae hutumiwa bili na kuhisi unaibiwa sababu hujayatumia basi sababu ni hii. 1- Mashirika ya Maji Tanzania hutumia Makadirio (Estimated Billing) – hii ndio Sababu kubwa zaidi Mara nyingi shirika la maji...
  18. Kasomi

    Benki ya Dunia: Kenya yashika nafasi ya 10 kati ya nchi maskini duniani

    KENYA: Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani ambapo taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo...
  19. Kasomi

    Mauzo ya Tanzania kwenda nchi jirani 2024/25

    Mauzo ya Tanzania kwenda nchi jirani 2024/25: 1. Kenya - Trilioni 1.11 2. DRC - Bilioni 795.23 3. Uganda - Bilioni 688.78 4. Rwanda - Bilioni 567.12 5. Zambia - Bilioni 560.20 6. Burundi - Bilioni 279.78 7. Malawi - Bilioni 231.67 8. Msumbiji - Bilioni 81.78
Back
Top