Search results

  1. Emmanuel

    Og

    "Una akili kichwani mwako. Ndio maana hapo ulipo Hauko uchi. Unaweza kujielekeza katika njia yoyote unayochagua Usipende kupangiwa vitu"
  2. Emmanuel

    Reposted

    Wadau leo nawajuza je, wajua ukiitikisa simu yako wakati umefungua Facebook yako itakupa option ya kuripot tatizo. Endapo ukiitikisa simu yako ukiwa umefungua App ya Facebook (ukiwa unaperuzi Facebook) Basi jua itakupa option ya kuripot tatizo. Jaribu kutikisa simu yako ukiwa umefungua...
  3. Emmanuel

    STUDY MATERIALS FROM PRIMARY TO ADVANCE LEVEL

    *???? STUDY MATERIALS FROM PRIMARY TO ADVANCE LEVEL* *FULL HOLIDAY PACKAGES FROM PRIMARY LEVEL TO ADVANCE LEVEL* ????Whatsap/Call/sms 0753439834 *PRIMARY LEVEL ALL SUBJECTS* 1. Baby class. 2. Middle class. 3. Pre-unit 4. Standard 1 to standard 7. *ORDINARY - LEVEL ALL SUBJECTS* 1. Form one...
  4. Emmanuel

    JIFUNZE LUGHA YA KINGEREZA KWA AJILI YAKO AU MWANAO UKIWA NYUMBANI KWAKO

    *JIFUNZE LUGHA YA KINGEREZA KWA AJILI YAKO AU MWANAO UKIWA NYUMBANI KWAKO* Si kila mtoto anaweza kuelewa somo kwenye kundi la wanafunzi wenzake kama darasani. Wakati mwengine mtoto huyu anahitaji kufundishwa katika namna ambayo ni mahususi na kuendana nae, mbinu ambayo ni ngumu mwalimu kuitumia...
  5. Emmanuel

    Nondo

    *????✋✋EMMANUEL EDUCATIONAL MATERIALS PLATFORM (EEMP)√√√????????* *HABARI KUBWA MJINI NI SOMA KOKOTE ULIPO EMMANUEL EDUCATIONAL MATERIALS PLATFORM (EEMP)* inakuletea wewe NDUGU, MDAU , kwenye sekta ya *"ELIMU"* & *"UJASIRIAMALI MASOMO YOTE"* kuweza kupata *"VITABU , NUKUU, SCHEME, LESSON PLAN...
  6. Emmanuel

    Yes Kila kitu

    Ikiwa wewe utakuwa na majibu ya yes kwakila mtu na kila kitu wewe ni yes tu! Tambua kabisa maisha yako hayana mpangilio. Hapana nyingi ni ishara ya ukubwa yani, una ratiba zako, mipango yako, thamani yako,kiufupi upo kwenye reli unajua unachotaka na unapo kwenda✍????
  7. Emmanuel

    Uadui

    *TODAY its 1st July* r͟͟a͟͟f͟͟i͟͟k͟͟i͟͟ w͟͟a͟͟ r͟͟a͟͟f͟͟i͟͟k͟͟i͟͟ y͟͟a͟͟k͟͟o͟͟ n͟͟i͟͟ r͟͟a͟͟f͟͟i͟͟k͟͟i͟͟ y͟͟e͟͟n͟͟u͟͟. a͟͟d͟͟u͟͟i͟͟ w͟͟a͟͟ r͟͟a͟͟f͟͟i͟͟k͟͟i͟͟ y͟͟a͟͟k͟͟o͟͟ n͟͟i͟͟ a͟͟d͟͟u͟͟i͟͟ w͟͟a͟͟k͟͟e͟͟.i͟͟k͟͟i͟͟w͟͟a͟͟ w͟͟e͟͟w͟͟e͟͟ s͟͟i͟͟ s͟͟e͟͟h͟͟e͟͟m͟͟u͟͟ y͟͟a͟͟ u͟͟a͟͟d͟͟u͟͟i͟͟ w͟͟a͟͟o͟͟...
  8. Emmanuel

    UZI; Wazee wanasema, “Kabla hujaruhusu sauti yako isikike pangusa mdomo kwanza”

    *Wazee wanasema, “Kabla hujaruhusu sauti yako isikike pangusa mdomo kwanza”. Watu hukutazama baada ya wewe kutoa sauti. Kabla hujatoa sauti ya kuonya yeyote hakikisha umenyoosha njia zako kwanza, kwani baada ya kuongea watu hutazama maisha yako. Yakiwa mabaya wanaweza kukataa kupokea au...
  9. Emmanuel

    Tuishi humu

    Wengine tumekuwa imara kwasababu hatukuwahi saidiwa tulivyokuwa dhaifu ✌️ http://t.co/WSDyVjIEkk
  10. Emmanuel

    Ipo wapi Zamani?

    *IPO WAPI ZAMANI?* Zamani Nyumba Zetu Zilikua Vyumba Kidogo na Sehemu ya Kukaa tu, Tunakutana Ndugu, Jamaa na Majirani. Lakini Leo Nyumba Zetu Kubwa na Zina Vyumba vingi, isipokuwa Hazina Watu ila Ardhi na Kuta tu. Zamani Chakula Chetu ni Wali, Mihogo, Ndizi, Magimbi, Dagaa la Kitonge, au...
  11. Emmanuel

    HII NDIO DAWA YA MKE ASIYE PENDA NDUGU WA MUME

    *HII NDIO DAWA YA MKE ASIYE PENDA NDUGU WA MUME* Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake... "Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada zangu na hata baba na mama) tujumuike pamoja na kula pamoja Kesho nitawaalika ili tujumuike nao...
  12. Emmanuel

    Shika buku mbili

    *SHIKA ELFU MBILI HII YA MAJI MWANGALIE MUNGU UTAFANIKIWA!* Humjui. Hakujui. Na wala hakuna anayekuona. Huwezi kujua huyo mtu alikuwa anajiuliza atakavyorudi nyumbani kwa mguu. Au hajala anaona bora anywe soda na biskuti apate nguvu kidogo. Anakuona kama MALAIKA…. Anapata moyo. Anaahirisha...
  13. Emmanuel

    Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa, basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa

    *UZI SOMA ITAKUSAIDIA ✍️* Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa... basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa.. yaani kuna kitu Mungu aliweka kwenye kichwa chako anataka ukitumie vizuri. Na ukitii hiyo sauti utajishangaa kuwa kumbe una solution nyingi balaa Kwamba kumbe wewe ni...
  14. Emmanuel

    UZI

    *UZI SOMA ITAKUSAIDIA ✍️* Ukiwa katika changamoto nyingi na huoni wa kukusaidia kabisa... basi jua ndivyo ilivyopaswa kuwa.. yaani kuna kitu Mungu aliweka kwenye kichwa chako anataka ukitumie vizuri. Na ukitii hiyo sauti utajishangaa kuwa kumbe una solution nyingi balaa Kwamba kumbe wewe ni...
  15. Emmanuel

    tumaini

    *LIPO TUMAINI JIPYA* Usikate tamaa bado kuna MTU MKUU ndani yako, umezaliwa kuleta impact kwenye dunia kabla ya kurudi ulikotoka, bado kidogo usihitimishe kwamba ndo mwisho bado kuna tumaini kama utaamua kuamini, changamoto zako ni ndogo kuliko wewe. *GET BIGGER THAN YOUR CHALLENGES.* Unaona...
  16. Emmanuel

    Tuishi humu

    JARIBU KUFANYA HAYA: Part 1 Akili ya mwanadamu inaweza kufanya vitu ambavyo haviwez kuonekana kuwa ni halisi katika maisha ya kawaida. unaweza kuifundisha akili yako ili uone mambo mazur hata wakati wa Shida, unaweza kufanya yafuatayo:- 1. Epuka kulalamika ama kunung'unika au kutoa lawama...
  17. Emmanuel

    MAMBO 10 YA KUACHA KUYAFANYA

    MAMBO 10 YA KUACHA KUYAFANYA 1. Acha kukimbia matatizo yako kwa kuwa matatizo hayajimalizi jaribu kutafuta suluhu hata kama jambo ni zito, usitoe visingizio 2.Acha kutumia muda wako kwa kushirikiana na watu wenye mtazamo hasi, hakuna utakacho jifunza 3.Acha kujitahidi kuwa kama fulani...
  18. Emmanuel

    TUISHI HUMU; Baadhi ya Sheria za Kijamii, Zitakazo Kusaidia Kuishi na Watu Vizuri

    BAADHI YA SHERIA ZA KIJAMII, ZITAKAZO KUSAIDIA KUISHI NA WATU VIZURI. 1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya. 2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi...
  19. Emmanuel

    Alika wadau usikae mwenyewe kuinjoy

    JAMIITALK NI KAMA FACEBOOK UTAPATA MARAFIKI THEN UKIWA MTUMIAJI MZURI TUNAKUPA BLUE TICK VERIFIED BADGE Jiunge na mtandao wa JamiiTalk ili kujadili maswala mbalimbali mf. Elimu, siasa, Burudani, Matangazo ya Ajira na mengineyo. Kujisajili bonyeza kiungo hiki jamiitalk.com Tembelea mara kwa...
  20. Emmanuel

    Somo Ukiambiwa zamani...

    Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wa leo wenye elimu na umri huo utaona kama vile tunarudi nyuma badala kwenda mbele... Na ukiambiwa miaka ya 1970 hadi 1990 nchi yetu ilikuwa na vyama vya ushirika kila mkoa vyenye...
Back
Top