USICHOJUA KUHUSU UPWEKE
Wakati mwingine upweke ni mzuri kwa sababu unakufanya utoke kwenye mipaka uliyojiwekea mwanzo.
Upweke ni daraja kuelekea uhuru,ukuaji na ustawi wako KAMA UTAUTAZAMA KWA JICHO LA FAIDA.
Unahisi kutengwa na mtu fulani uliyemzingatia sana, au watu wa muhimu kwako hawakupi...