Search results

  1. M

    KUMRUDIA X

    Kuna hili kosa wengi hulifanya na wengi wao huishia kujuta tu. Mtu aliyekuumiza na kukuacha anapojaribu kurudi tena kwenye himaya yako haupaswi kuwa mwepesi wa kumruhusu tu kama kwamba hakijatokea kitu. Unamruhusu et kwa sababu ; ::Mwanzo ulimpenda sana. ::Amejieleza sana kiasi cha wewe...
  2. M

    Mwanaume kabla ya kutafuta mke soma hii

    Mwanamke anapotafuta kuwa na mwanaume kwenye mahusiano mara zote anatafuta usalama wake.(kama haujui mwanamke ndiye kabeba hazina na kibari ndani yake) Utaona wanawake wengi hanawana shida ya kutafuta utajiri ila wanashida ya kutafuta mume. Utakubaliana na mimi kwamba Wanawake wengi...
  3. M

    Kutoka kwenye upweke

    Watu wengi ni wahanga wakubwa wa upweke huwenda hata wewe unayejiona unafuraha sasa. Naomba soma kwa makini hapa huwenda ukaokota kitu cha kukufaa. Wengi tumezoezwa kelele nyingi za nje na kwa hakika tumezizoea, namaanisha vyanzo vya furaha yetu wengi wetu ni vile vinavyopatikana nje yetu...
  4. M

    Maswali mawili niliyoulizwa sana

    Leo naomba nitoe majibu ya haya maswali mawili; 1::Naamua nisimtafute lakini najikuta namtafuta tena. 2::Ananifanyia mabaya lakini nashindwa kumuacha. Changamoto inayosumbua hapa ni ufahamu na sio upendo. Wengi wanazani wanashindwa kwa sababu et wamependa... Hapana! ila shida ni kwamba...
  5. M

    USICHOJUA KUHUSU UPWEKE

    USICHOJUA KUHUSU UPWEKE Wakati mwingine upweke ni mzuri kwa sababu unakufanya utoke kwenye mipaka uliyojiwekea mwanzo. Upweke ni daraja kuelekea uhuru,ukuaji na ustawi wako KAMA UTAUTAZAMA KWA JICHO LA FAIDA. Unahisi kutengwa na mtu fulani uliyemzingatia sana, au watu wa muhimu kwako hawakupi...
  6. M

    ACHA KUMUANGALIA VIBAYA NA KUWA NA WIVU JUU YA MTU ANAYEKUSAIDIA KWA SABABU ANAMSAIDIA MWINGINE VITU VIKUBWA KULIKO WEWE

    ACHA KUMUANGALIA VIBAYA NA KUWA NA WIVU JUU YA MTU ANAYEKUSAIDIA KWA SABABU ANAMSAIDIA MWINGINE VITU VIKUBWA KULIKO WEWE. Wivu una chanzo. Hauji kwa bahati mbaya. Mara nyingi hutokea pale mtu anapojihisi kwamba thamani yake haitambuliwi vya kutosha, au jitihada zake haziangaliwi kwa jicho la...
  7. M

    Aina 3 za wanawake wanaopaswa kuwa makini kabla ya kupenda tena

    Kuna vitu mbali mbali vinavyoweza kutokea kwenye mahusiano na ukajikuta huwezi tena kuendelea na mahusiano hayo haijalishi ulipenda kiasi gani. Kupenda ni zawadi. Lakini kuna wanawake wanapenda tena bila hata kuwa na tahadhari, ni kama wanarudi kwenye majivu yaliyokuwa na moto bila kujua...
Back
Top