afrika

  1. Kasomi

    Mataifa 5 tajiri na masikini zaidi barani Afrika 2025 - IMF

    Mataifa 5 tajiri na masikini zaidi barani Afrika 2025 - IMF Shirika la Fedha Duniani IMF limetoa orodha ya mwaka 2025 ya nchi tajiri zaidi na masikini barani Afrika. Kiwango hiki, ambacho kinajumuisha mataifa madogo kama vile Mauritius na Libya, kinatokana na usawa wa uwezo wa kununua (PPP)...
  2. Kasomi

    Simba SC ya 4 Timu Bora Afrika

    Club ya Simba SC ya Tanzania sasa imepanda katika viwango vya Timu bora Afrika na kuwa nafasi ya tano baada ya kufanikiwa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuitoa Al Masry ya Misri kwa penati 4-1 (agg 2-2). Simba SC imepanda hadi nafasi ya nne baada ya kuipiku Wydad...
  3. Kasomi

    Simba yatoa pongezi Mohammed Dewji kutajwa na Forbes kuwa Tajiri namba 12 barani Afrika

    Klabu ya Simba SC imetoa pongezi kwa Mwekezaji wa klabu hiyo, Mohammed Dewji, kwa kutajwa na Jarida la Forbes kama tajiri namba moja Afrika Mashariki na namba 12 barani Afrika, katika orodha yake ya matajiri wa dunia kwa mwaka 2025. Jarida la Forbes (2025) limemweka mfanyabiashara maarufu wa...
  4. Kasomi

    Mohammed Dewji (Mo Dewji) Tajiri Namba 12 Afrika na wa 1 Afrika Mashariki

    Jarida la Forbes (2025) limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa watu matajiri duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Tsh 5.7 trillioni. Mo, anakuwa tajiri namba 12 Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa utajiri huo. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha...
  5. Kasomi

    List of the tallest buildings in Africa as of 2025

    List of the tallest buildings in Africa as of 2025 1)- Iconic Tower (1,292 ft), Egypt 🇪🇬 2)- Djamaa el Djazaïr (867 ft), Algeria 🇩🇿 3)-Mohammed VI Tower (820 ft), Morocco 🇲🇦 4)-The Leonardo (768 ft), South Africa 🇿🇦 5)- Carlton Centre (732 ft), South Africa 🇿🇦 6)- Hassan II Mosque (690...
  6. Kasomi

    Top 10 ya nchi za Afrika ambazo zimeelimika zaidi

    Top 10 ya nchi za Afrika ambazo zimeelimika zaidi. 1. Equatorial Guinea🇬🇶 (95.3%) 2. South Africa 🇿🇦 (94.3%) 3. Seychelles 🇸🇨 (91.8%) 4. Libya 🇱🇾 (91.0%) 5. Mauritius 🇲🇺 (90.6%) 6. Botswana 🇧🇼 (88.5%) 7. Cape Verde 🇨🇻 (87.6%) 8. Zimbabwe 🇿🇼 (86.5%) 9. Burundi 🇧🇮 (85.6%) 10. Gabon 🇬🇦 (83.2%)...
Back
Top