Advertise here

Simba SC ya 4 Timu Bora Afrika

Kasomi

JT Founder
Club ya Simba SC ya Tanzania sasa imepanda katika viwango vya Timu bora Afrika na kuwa nafasi ya tano baada ya kufanikiwa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuitoa Al Masry ya Misri kwa penati 4-1 (agg 2-2).

Simba SC imepanda hadi nafasi ya nne baada ya kuipiku Wydad Casablanca ya Morocco kutokana na Simba SC kuwa na point 43.

Timu inayoongoza kwa ubora kwa sasa ni Al Ahly ya Misri (point 78), nafasi ya pili ni Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini (point 57), na ya tatu ni Esperance Tunisia (point 57).
 
Back
Top