Advertise here

afrika

  1. Kasomi

    Ratiba ya Kombe la Dunia 2026 Mechi Zote, kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT)

    Ratiba ya Hatua ya Makundi – Kombe la Dunia 2026 Alhamisi, 11 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 22:00 Mexico vs South Africa A Estadio Azteca, Mexico City Ijumaa, 12 Juni 2026 Saa (EAT) Mechi Kundi Uwanja 05:00 Korea Republic vs Czechia A Estadio Akron, Guadalajara 22:00 Canada...
  2. Kasomi

    Forbes: Mo Dewji ndiye tajiri namba moja Afrika Mashariki

    Jarida la Forbes la Marekani toleo jipya la 2026 limetaja Mohammed Dewji, Mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania kama tajiri nambari moja kwa nchi za Afrika Mashariki akiwa na utajiri wa Dola za Kimarekani Bilioni 2.1. Kwa upande wa bara la Afrika, Dewji mwenye miaka 50 anashikilia nafasi ya...
  3. Kasomi

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili

    Pope Leo XIV anatarajiwa kuanza ziara ya siku 10 barani Afrika kuanzia tarehe 13 Aprili, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kichungaji katika bara hilo tangu achukue uongozi wa Kanisa Katoliki, kwa mujibu wa taarifa ya Vatican. Katika ziara hiyo, atatembelea nchi za Algeria, Cameroon, Angola na...
  4. Kasomi

    Wimbo wa Afrika kusini umeundwa kwa lugha tano tofauti

    Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa) Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho) Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe
  5. Kasomi

    Vyuo vikuu Bora Afrika Mashariki

    Kulingana na takwimu iliyotolewa hivi karibuni na jarida la Times Higher Education la nchini Uingereza, Chuo Kikuu cha Makerere cha Uganda, kinashika nafasi ya kwanza kwa ubora, katika ukanda wa Afrika Mashariki. Nafasi ya pili imekwenda kwa Chuo Kikuu cha Nairobi (UON) huku Chuo Kikuu cha Afya...
  6. Kasomi

    Hizi ndizo lugha zinazozungumzwa zaidi barani Afrika

    Kulingana na ripoti ya UNESCO, kati ya lugha 1,500 na 3,000 (ikiwa ni pamoja na lahaja) zinazungumzwa kote barani Afrika. Hizi ni lugha zinazo ongoza kwa kuzungumuzwa zaidi Barani Afrika 1. Kiswahili Idadi ya wazungumzaji: zaidi ya watu milioni 230 wanazungumuza Kiswahili Afrika. Kiswahili...
  7. Kasomi

    "Tatizo Kubwa la Afrika ni viongozi kutaka kuongoza Milele" - Yoweri Museveni (1986)

    Yoweri Museveni aliwahi kusema "Tatizo la Afrika kwa ujumla, na hasa Uganda, si watu bali ni viongozi wanaotaka kuzidi kukaa madarakani milele." Alisema kauli hii yeye mwenyewe wakati wa hotuba yake ya kwanza siku aliyoingia madarakani Januari 29,1986 Huku akidai kubadilisha tatizo Hilo...
  8. Kasomi

    Vyuo vya gharama za juu zaidi Afrika (2025)

    Hii ni orodha ya baadhi ya vyuo vya juu vinavyotoza ada kubwa Afrika kwa mwaka wa masomo: 1. The American University in Cairo (AUC) – Misri • Ada ya kujisoma kwa mwaka: $20,000 – $32,000 (takriban TZS ~54,000,000 – 86,000,000) kwa mwaka, kulingana na programu. 📍 Inapatikana: Cairo, Misri – moja...
  9. Kasomi

    Nchi 10 za Afrika zenye umri wa juu zaidi wa kuishi

    Kulingana na Ripoti ya World Population Prospect ya mwaka 2022 inabainisha kuwa nchini Algeria, mtoto aliyezaliwa anatarajiwa kuishi zaidi ya miaka 77. Nchi nyingine zilizoshika nafasi za juu ni Cabo Verde, Tunisia, na Mauritius, ambapo wastani wa umri wa kuishi ni miaka 76. Hii inatafsiri kuwa...
  10. Kasomi

    Tanzania Nchi ya 5 kwa idadi ya Watu wengi Afrika

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa ya watu barani Afrika. Kwa mujibu wa makadirio ya sensa na takwimu za Umoja wa Mataifa (UN World Population Prospects, 2025), Tanzania inashika nafasi ya 5 kwa idadi ya watu Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi Afrika (takribani 2025): Tanzania...
  11. Kasomi

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika 2025

    NCHI 10 ZA AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WATU 1. Nigeria 🇳🇬 2. Ethiopia 🇪🇹 3. Egypt 🇪🇬 4. Democraric Republic of Congo 🇨🇩 5. Tanzania 🇹🇿 6. South Africa 🇿🇦 7. Kenya 🇰🇪 8. Sudan 🇸🇩 9. Uganda 🇺🇬 10. Algeria 🇩🇿 Chanzo: World Population Review
  12. Kasomi

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya mamilionea wa dola 2025

    Afrika imeelezwa kuwa moja ya kanda zinazokua kwa kasi zaidi katika ustawi binafsi duniani, licha ya baadhi ya nchi kubwa kukabiliwa na changamoto za mgawanyo wa kipato na mali. Kwa mujibu wa Ripoti ya Utajiri Afrika 2025 iliyotolewa na Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth...
  13. Kasomi

    Nchi 10 Afrika Zenye Idadi Kubwa ya Waislamu

    NCHI 10 AFRIKA ZENYE IDADI KUBWA YA WAISLAMU 1. Nigeria– Waislamu takribani milioni 105 2. Misri (Egypt)– Waislamu takribani milioni 90 3. Ethiopia– Waislamu takribani milioni 35 4. Algeria – Waislamu takribani milioni 39 5. Sudan– Waislamu takribani milioni 38 6. Morocco– Waislamu takribani...
  14. Kasomi

    Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika

    Unamfahamu Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga moja ya viongozi wa ovyo zaidi kuwahi kutokea barani Afrika, alitawala kwa mkono wa chuma Zaire (DRC ya sasa) akifanya ufisadi na anasa za kutisha akichezea fedha za umma na rasilimali za nchi Mobutu alijenga majumba ya kifahari na mahoteli...
  15. Kasomi

    Shule 10 Ghali Zaidi Afrika, Namba Moja Itakushangaza

    Inawezekana uwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa, Usijali leo tunakujuza shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake; 10. American international school, Zambia (annual fee 22,070$) Shule ya Kimataifa ya Marekani ya Lusaka (AISL) ni...
  16. Kasomi

    Fahamu Leo Nchi 15 Tajiri Zaidi Afrika 2025

    NCHI 15 TAJIRI ZAIDI AFRIKA 2025 Kulingana na makadirio ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) ya Aprili 2025, hizi ndizo nchi 15 zenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika (kwa Pato la Taifa - GDP): 1. Afrika Kusini 🇿🇦 - $410.34 bilioni 2. Misri 🇪🇬 - $347.34 bilioni 3. Algeria 🇩🇿 - $268.89...
  17. Kasomi

    Nchi 10 zenye nguvu kubwa zaidi za kijeshi Afrika 2025

    Ripoti ya hivi majuzi iliofanywa na mtandao wa Marekani wa Global firepower {GFP} ilitathmini nguvu za kijeshi za nchi 145 ulimwenguni, kwa kuzingatia ukubwa wa vifaa, Idadi ya wanajeshi , uwezo wake, fedha, jiografia na rasilimali. Uwezo huo wa kijeshi unashawishiwa na miungano, uhusiano wa...
  18. Kasomi

    Vijue vyuo vikuu kumi bora Afrika 2025

    Kwa mujibu wa jarida la elimu kutoka Uingereza la Times Higher Education, vyuo vikuu bora barani Afrika vimetoka katika nchi 19 katika orodha yao ya 2025 kati ya zaidi ya vyuo vikuu 2,000 kutoka nchi 115. Kwa ujumla, Misri na Algeria ndizo nchi mbili za Afrika zilizotoa vyuo vingi katika orodha...
  19. M

    Profesa Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ukanda wa Afrika

    Profesa Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa ukanda wa Afrika. Awali Profesa Janabi aliwasilisha Vipaumbele kama ifuatavyo Prof. Mohammed Janabi, amewasilisha vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la...
  20. Kasomi

    Mbivu na mbichi ya Profesa Janabi katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika

    Mbivu na mbichi ya Profesa Janabi katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa WHO Afrika Uchaguzi wa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) unafanyika Mei 18 huko Geneva Uswisi. Mataifa wanachama wanapiga kura katika kikao cha pili maalum cha kamati ya kikanda ya shirika hilo...
Back
Top