Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, ameweka wazi nia yake ya kurejea bungeni kwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama hicho, katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Msigwa, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo hilo kwa miaka 10 kupitia...