Advertise here

Bernard Membe Arudi CCM

Kasomi

JT Founder
IMG_20220331_142317.jpg

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM Ndugu Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya CCM.


Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 31, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka imeeleza kuwa Ndugu Membe ameandika barua ya kuomba msamaha kwa zaidi ya mara tatu.
 
Back
Top