Myths kuhusu maisha ya chuo
Hahhahaha! Make hapa kwanza ncheke, natumai ni wazima wa afya watu wangu wa nguvu, leo basi katika UniCorner tumekuja na mada konki kabisa, I hope wengi wenu itawajenga zaidi katika maisha mapya ya chuoni.
Hakuna kitu ambacho hautakisikia kuhusu hatua yoyote...