dunia

  1. Kasomi

    Leo ni siku ya kumsamehe mpenzi wako wa zamani yaani Ex

    Leo Oktoba 17, dunia inaadhimisha siku ya kumsamehe mpenzi wako wa zamani yaani Ex. Hii ni siku maalum ya kuhamasisha watu kuachilia maumivu na chuki za zamani kutoka kwa mahusiano yaliyovunjika. Siku hii haikusudii wewe kurudiana na mpenzi wako wa zamani wala kutuma ujumbe, bali ni fursa ya...
  2. Kasomi

    TANZIA Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya, Raila Odinga amefariki dunia katika Wilaya ya Kerala Nchini India akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati akiwa anafanya mazoezi katika matembezi ya asubuhi. Vyombo vya Habari Nchini Kenya na India vimeripoti kuwa Odinga alikuwa Nchini...
  3. J

    Dina Alivyojiunga na Anasa za Dunia Akaishia Kuharibikiwa

    Dina Alivyojiunga na Anasa za Dunia Akaishia Kuharibikiwa Dina ni nani Katika biblia, Yakobo, Myahudi, alikuwa na wake wawili: Lea alikuwa mkubwa na Raheli alikuwa mdogo. Baba yao alikuwa ni mmoja. Dina alikuwa binti wa Lea. Dina pia alikuwa bikira (Mwanzo 34:1-31). Moja kati ya jambo baya...
  4. Kasomi

    Dunia itakuwa Giza kwa Dakika 6 siku ya Tarehe 2 Agosti 2025

    Itakapo fika siku ya tarehe 02 Agosti 2025 kutatokea tukio la kupatwa kwa jua, ni tukio ambalo linatokea kwa nadra sana itaweza kuvutia watu wengi. Ni tukio ambalo Dunia nzima itaweza kushuhudia jua litakapo weza kufunikwa na Mwezi kwa takribani dakika 6, ambapo wakati tukio ilo linatokea Jua...
  5. Kasomi

    Chelsea yatwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuigaragaza PSG

    Chelsea yatwaa Ubingwa wa Club World Cup 2025 kwa Kishindo Klabu ya Chelsea kutoka England imeweka historia kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Vilabu (FIFA Club World Cup) mwaka 2025 baada ya kuicharaza Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa kwa mabao 3-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa...
  6. Kasomi

    Kasi ya mzunguko wa Dunia yaongezeka, siku zitakuwa fupi

    Wataalamu wa sayansi wamebaini kuwa mzunguko wa Dunia umeanza kuharakisha kwa namna isiyo ya kawaida, hali ambayo imewafanya kuanza kuchunguza chanzo chake kwa kina. Kwa mujibu wa taarifa, siku tatu—Julai 9, Julai 22, na Agosti 5, 2025—zinatarajiwa kuwa fupi zaidi katika historia ya karibuni...
  7. Kasomi

    TANZIA Mzee Samatta afariki Dunia

    NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars', Mbwana Samatta kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Samatta. Mzee Samatta amefariki dunia leo hii nyumbani kwake Mbagala Dar es Salaam na taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mwanae, Mohamed Samatta...
  8. Kasomi

    TANZIA Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania Uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na miongoni mwa wapigania Uhuru wa Tanganyika, Alhaj Mustafa Mohamed Songambele, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ya kifo chake imethibitishwa na binti yake Dorah Songambele, ambaye amesema maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda...
  9. Kasomi

    Sita wafariki dunia baada ya kufunikwa na kifusi, wengine 11 wajeruhiwa Shinyanga

    Wachimbaji wadogo wa dhahabu sita wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na Kikundi cha Hapa Kazi Tu, kitalu namba nane (8), eneo la Nyaligongo, Kata ya Mwakitolyo mkoani Shinyanga. Tukio hilo limetokea jana, Jumamosi, Mei...
  10. Kasomi

    TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa...
  11. Kasomi

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88

    Papa Francis afariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican. Saa 9:45 asubuhi, Kadinali Kevin Farrell, Camerlengo wa Baraza la Kitume, alitangaza kifo cha Papa Francisko kutoka Casa Santa Marta kwa maneno haya...
  12. M

    Kila mwaka ifikapo tarehe 15 october dunia inadhimisha siku ya kunawa mikono kwa sababuni

    Kila mwaka ifikapo tarehe 15 october dunia inadhimisha siku ya kunawa mikono kwa sababuni kwa hakika hii ina maana kubwa sana kwa afya zetu. Siku hii ni mahususi kwa ajili ya kuwahimiza wananchi juu ya umuhimu wa kunawa mikono yao kama sehemu ya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama vile...
  13. Kasomi

    Mwanamume aliyepachikwa jina la utani la "mtu mchafu zaidi duniani" kwa kutooga kwa miongo kadhaa amefariki

    Mwanamume mmoja wa Iran aliyepachikwa jina la utani la "mtu mchafu zaidi duniani" kwa kutooga kwa miongo kadhaa amefariki akiwa na umri wa miaka 94. Amou Haji, ambaye hakuoga kwa zaidi ya nusu karne alifariki siku ya Jumapili katika kijiji cha Dejgah katika jimbo la kusini la Fars...
  14. Kasomi

    TANZIA Mwanamuziki maunda zorro afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam. Maunda Zorro ni mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro pia ni mdogo wa...
  15. Kasomi

    TANZIA Prof. Honest Ngowi afariki Dunia

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka ametangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kwenda Kampasi Kuu Morogoro. "Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya tukio...
Back
Top