Advertise here

duniani

  1. Kasomi

    Elon Musk awa Trilionea wa kwanza duniani

    Tajiri namba moja dunianni Elon Musk amevunja rekodi mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa trilioni moja ya dola. Hii imetokana na kupanda kwa asilimia 25 kwa thamani ya hisa za kampuni yake ya SpaceX siku ya Ijumaa, mara tu zilipoanza kuuzwa. Bei ya hisa ilipanda kutoka...
  2. Kasomi

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani 2005 - 2026

    Wachezaji wa Kandanda Wenye Thamani Zaidi Duniani toka mwaka 2005 hadi 2026 Tazama video hapa
  3. J

    Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje?

    Waliokufa kabla ya Yesu kuja duniani wataokolewaje? Waliokufa kabla ya Yesu kuja, yaani watu wa Agano la Kale, wataokolewaje? Swali hili linaulizwa na baadhi ya watu kwa sababu tunajua kuwa kuokolewa ni kupitia damu ya Yesu tu, ndiyo tunapata ukombozi wa hakika wa dhambi. Sasa waliokuwa...
  4. Kasomi

    Lev Ivanovich Yashin ndiye Kipa pekee aliyewahi kushinda Ballon d'Or Duniani

    Katika ulimwengu wa soka tumezoea kuona washambuliaji na viungo wakitawala Tuzo za Ballon d'Or, lakini kulikuwa na kiumbe kimoja pekee kilichoweza kuvunja mwiko huo na huyo si mwingine bali ni Lev Ivanovich Yashin. [Intense and Suspenseful] "The Black Spider" Lev Yashin alikuwa ni mchezaji wa...
  5. Kasomi

    Mambo 10 yenye Utata na Matukio Yasiyosahaulika Duniani hadi leo

    Wachunguzi, waakiolojia, na wanasayansi wamekuwa wakihangaika kwa karne nyingi kutafuta majibu ya mafumbo makubwa ya dunia. Ingawa kumekuwa na mitazamo tofauti lakini hakuna mtazamo mmoja wa Moja kwa moja ulioleta Majibu katika haya. Hapa kuna orodha ya vitu 10 vinavyotafutwa zaidi ambavyo...
  6. Kasomi

    Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani

    Februari 13 ya kila mwaka ni siku ya kondomu duniani, huadhimishwa siku moja kabla ya siku ya wapendanao maarufu kama Valentines Day. Uamuzi wa kuiweka karibu na Februari 14, siku ya wapendanao si wa bahati mbaya, bali ni ujumbe kwamba mapenzi na uwajibikaji wa afya vinapaswa kwenda pamoja...
  7. Kasomi

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani

    Orodha ya Nchi (20) kubwa kieneo Duniani. 1. Russia 🇷🇺 (17 125 191) 2. Canada 🇨🇦. (9 985 000 ) 3. Marekani 🇺🇸 (9 629 091) 4. China 🇨🇳 (9 596 961) 5. Brasil 🇧🇷 (8 515 767) 6. Australia 🇭🇲 (7 699 060) 7. India🇮🇳 (3 287 263) 8. Argentina 🇦🇷 (2 780 400) 9. Kazakhstan 🇰🇿 (2 724 910) 10. Algeria 🇩🇿...
  8. Kasomi

    Mfahamu Jeffrey Epstein anaye wanyima usingizi Marais na Mabilionea Duniani

    Epstein alikufa katika gereza la New York kabla ya kuhukumiwa kwa mashtaka dhidi yake. Miaka kadhaa baadaye, mamilioni ya hati juu yake ziliwekwa wazi. Kwa hivyo ni nani alikuwa mshauri huyu wa kifedha na miunganisho yenye nguvu kama hii? "Mimi si mtu mwenye kudhalilisha kingono, mimi ni...
  9. Kasomi

    Ifahamu Nchi kubwa zaidi Duniani

    Je, unafahamu kuwa Urusi (Russia)/ USSR Ndio nchi inayo shika rekodi ya kua nchi kubwa kuliko nchi yeyote duniani? Basi fahamu Kuhusu ukubwa wake, eneo lake kwa ukubwa ni 17,075,400km² za mraba (million17.1km²), ambayo sawa na 12,577mile kwa urefu. Pia Urusi inachukua 11% ya eneo lote la nchi...
  10. Kasomi

    Hili ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani

    Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu Hilo ndilo jina la kilima nchini New Zealand lenye urefu wa herufi 85, likishikilia rekodi ya kuwa jina refu zaidi la mahali duniani. Liko karibu na Porangahau, Hawke's Bay, na linatokana na hadithi ya...
  11. Kasomi

    Benki ya Dunia: Kenya yashika nafasi ya 10 kati ya nchi maskini duniani

    KENYA: Benki ya Dunia imeitaja Kenya kuwa ya kumi kati ya nchi maskini zaidi duniani ambapo taarifa hiyo imetolewa wakati taifa hilo likijiandaa na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027, huku hali ya kisiasa ikielezwa kuwa na mvutano unaozidi kuongezeka katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi huo...
  12. JamiiTalk

    Siku ya Elimu Duniani | Happy International Day of Education

    Siku ya Elimu Duniani huadhimishwa Januari 24 kila Mwaka ikiangazia umuhimu wa Elimu katika kuleta Maendeleo, Usawa na Amani. Leo, tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu, katika JamiiTalk tunakuza umuhimu wa Elimu Bora. === Today, as we mark the International Day of Education, at JamiiTalk...
  13. Kasomi

    Leo Siku Ya Kukumbatiana Duniani

    Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja. Siku hii inaadhimishwa kwa kuanza kuwapa kumbato familia, marafiki au mtu uliyenaye karibu. Ili kuboresha ustawi wa kiakili na...
  14. Kasomi

    Haya ndiyo mataifa machache duniani ambayo kwa sasa si mwaka 2026 kwao

    Haya ndiyo mataifa machache duniani ambayo kwa sasa si mwaka 2026 kwao (kutokana na kutumia kalenda tofauti): 1. Ethiopia – wapo mwaka 2018 (Kalenda ya Kiethiopia) 2. Iran – wapo mwaka 1402 (Kalenda ya Kiajemi) 3. Afghanistan – mwaka 1402 (Kalenda ya Solar Hijri) 4. Nepal – mwaka 2082...
  15. Kasomi

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani

    Nchi 10 zenye idadi kubwa ya Simba Duniani 1. Tanzania: 14,500 2. Afrika Kusini: 3,284 3. Botswana: 3,063 4. Kenya: 2,515 5. Zambia: 2,349 6. Zimbabwe: 1,362 7. Ethiopia: 1,239 8. Sudan Kusini: 866 9. Namibia: 801 10. Msumbiji: 678 Chanzo: World Population Review
  16. Kasomi

    Nchi 10 Zenye Misikiti Mingi Zaidi Duniani

    Nchi 10 Zenye Misikiti Mingi Zaidi Duniani 1️⃣ Indonesia 🇮🇩 ➡️ Misikiti zaidi ya 800,000 Indonesia ina idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani. 2️⃣ India 🇮🇳 ➡️ Misikiti zaidi ya 300,000 Licha ya kutokuwa nchi ya Waislamu wengi, ina misikiti mingi sana. 3️⃣ Bangladesh 🇧🇩 ➡️ Takribani 150,000 –...
  17. Kasomi

    Orodha ya Matajiri Weusi Duniani 2025 (The World's Black Billionaires)

    Jarida la kifedha la Forbes limetoa rasmi orodha ya Matajiri Weusi Duniani kwa mwaka 2025, ikionyesha kundi dogo lakini lenye ushawishi mkubwa wa wafanyabiashara, wanamichezo, wasanii na wawekezaji waliokusanya utajiri wa mabilioni ya dola duniani. The World's Black Billionaires 2025 1. Aliko...
  18. Kasomi

    Nchi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Kuliko Wanaume Duniani

    Nchi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Kuliko Wanaume Duniani Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, kuna baadhi ya nchi na maeneo duniani ambayo yana asilimia kubwa ya wanawake katika idadi ya watu wake. Hii hutokana na sababu mbalimbali kama vile urefu wa maisha kwa wanawake, vifo vya wanaume...
  19. Kasomi

    Nchi 15 zenye watu wengi Duniani

    India: ~1.46 billion China: ~1.42 billion United States: ~347 million Indonesia: ~286 million Pakistan: ~255 million Nigeria: ~238 million Brazil: ~213 million Bangladesh: ~176 million Russia: ~144 million Ethiopia: ~135 million Mexico: ~132 million Japan: ~123 million Egypt: ~118 million...
  20. Kasomi

    Jina Tanzania Katika Lugha Mbalimbali Duniani

    Tanzania imeendelea kutambulika kimataifa kama moja ya mataifa muhimu barani Afrika, na tafsiri ya jina lake hutofautiana kulingana na lugha na maeneo mbalimbali duniani. Utafiti mpya unaonyesha namna mataifa tofauti yanavyolitaja jina la Tanzania kwa mitazamo ya lugha zao. 1. Tanzania...
Back
Top