Jina Tanzania Katika Lugha Mbalimbali Duniani

Kasomi

JT Founder
Tanzania imeendelea kutambulika kimataifa kama moja ya mataifa muhimu barani Afrika, na tafsiri ya jina lake hutofautiana kulingana na lugha na maeneo mbalimbali duniani. Utafiti mpya unaonyesha namna mataifa tofauti yanavyolitaja jina la Tanzania kwa mitazamo ya lugha zao.

1. Tanzania (English)
2. Tanzania (Swahili)
3. تنزانيا (Tanzāniyā) – Arabic
4. Tanzanie – French
5. Tanzânia – Portuguese
6. Tanzania – Spanish
7. Tansania – German
8. Tanzania – Italian
9. Tanzanya – Turkish
10. Танзания (Tanzaniya) – Russian
11. 坦桑尼亚 (Tǎnsāngníyà) – Chinese
12. タンザニア (Tanzania) – Japanese
13. 탄자니아 (Tanjania) – Korean
14. तंज़ानिया (Tanzāniyā) – Hindi
15. تانزانیا (Tanzaniya) – Persian
16. Tanzania – Dutch
17. Tanzania – Polish
18. Τανζανία (Tanzanía) – Greek
19. ታንዛኒያ (Tanzaniya) – Amharic
20. Tansaaniya – Somali
21. iTanzania – Zulu
22. Tanzanië – Afrikaans

Je ulikuwa unajua jina lipi zaidi ya Tanzania🤔
 

Similar threads

Back
Top