faida potea

  1. Kasomi

    Hii ndiyo orodha ya wabunge walioingoza Kishapu kuanzia 1965 - 2025

    JIMBO LA KISHAPU Leo tuangalie historia ya jimbo la Kishapu upande wa Wabunge, Bunge la kwanza la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 1965 mkoa wa Shinyanga uliwakilishwa na Majimbo matatu (3) amabayo ni Shinyanga Mashariki, (kwa sasa ndiyo kishapu) Shinyanga Kati na Shinyanga Magharibi. BUNGE LA...
  2. Kasomi

    Nyongeza Katika Historia ya Ng'wanamalundi

    NYONGEZA KATIKA HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI KUTOKA KATIKA NILIYOSIMULIWA NA WAZEE WANAGU. Anaandika Faida Potea, Sijui tuseme ni asili au ndiyo mambo ya kizungu yametutawala, miaka ya nyuma hasa huku usukumani ilikuwa ni kawaida mkimaliza kula chakula cha usiku babu au baba ni lazima awasimulie...
  3. Kasomi

    UNA UTajiri Gani Hivi Sasa? (Sio uhai… UTajiri wa pesa, mali – NET WORTH yako halisi)

    UNA UTajiri Gani Hivi Sasa? (Sio uhai… UTajiri wa pesa, mali – NET WORTH yako halisi.) Anaandika✍🏻 Faida Potea, Kabla hujaingia 2026 ukitaka mafanikio ya kweli ya kifedha, swali hili ni lazima ujijibu kwa uaminifu. Huwezi kuboresha kitu ambacho hukipimi. Huwezi kujenga utajiri bila kufahamu...
  4. M

    Faida Potea atangaza kugombea Ubunge jimbo la Nyamagana wilayani mwanza

    Natangaza kugombea ubunge jimbo la Nyamagana wilayani mwanza.. Wanabodi amani iwe nanyi na poleni na majukumu ya kutafuta rizki.... Jimbo la nyamagana ni jimbo lenye heka heka nyingi sanaa za kisiasa, ni kiini cha mabadiliko katika nchi hii, ni kati ya maeneo yenye historia kwenye medani za...
  5. Kasomi

    Muhtasari wa Hoja: Madhara Ya Kutosaini Kanuni Za Maadili ya Uchaguzi

    MUHTASARI WA HOJA: MADHARA YA KUTOSAINI KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI Anaandika Faida Potea✍️ 1. Maadili ya Uchaguzi ni Suala la Kisheria Yameainishwa katika Kifungu cha 162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, 2024. Tume ya Uchaguzi hutunga kanuni hizo kwa mashauriano na...
  6. Kasomi

    Faida Potea; G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa

    Anaandika ✍️ Faida Potea G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa Katika kipindi ambacho Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu, chama kikuu cha upinzani nchini , CHADEMA, kimejikuta kwenye mzozo mkubwa wa ndani unaoweza kubadilisha sura...
  7. Kasomi

    Nimeona it should be a double standard; Wanaume hua Tunatamani kupata Wife Material, Lakini tukiwapata tunawafanyia visa

    Anaandika Faida Potea WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe... Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE,anakufuatilia mambo yako,uko wapi,umekula,umekula nini,umekula saa ngapi,kwanini...
  8. Kasomi

    Mzaha mzaha tu Mandonga anauheshimisha mchezo wa ngumi Afrika Mashariki

    Anaandika Faida Potea Mzaha mzaha tu Mandonga anauheshimisha mchezo wa ngumi Afrika Mashariki Miaka miwili iliyopita ungemwambia Karim Mandonga ‘Mtu kazi’ bondia mwenye maneno na mbwembwe nyingi wa Tanzania kwamba, angekuwa kwenye ulingo katika nchi ya ughaibuni anapigana, asingekukubalia...
Back
Top