jimbo

  1. Kasomi

    Majina ya Waliochaguliwa Kusimamia Uchaguzi 2025 Jimbo la Kigamboni

    Taarifa Rasmi Kutoka Jimbo la Kigamboni Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa na Kateti S. H., Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigamboni, mafunzo hayo yanakusudia kuwajengea uwezo watendaji watakaosimamia vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani wa mwaka 2025...
  2. Kasomi

    Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi na Makarani Waongozaji Jimbo la Kakonko

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, wasimamizi wasaidizi na makarani waongozaji kufika kwenye usaili tarehe 08/10/2025 saa 3:00 asubuhi katika vituo vilivyoorodheshwa hapa chini ikiambatana na majina ya wale walioitwa...
  3. Kasomi

    Tangazo La Kubadilika Tarehe Ya Usaili Wasimamizi wa uchaguzi na Makarani Jimbo la Kakonko

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kakonko anapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya Usaili kwa Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Waongozaji imebadilika kutoka tarehe 08/10/2025 badala yake usaili utafanyika tarehe 10/10/2025 kuanzia saa 3:00 asubuhi. Aidha, vituo vya kufanyia usaili...
  4. Kasomi

    Wanachama 24 wa CCM walitaka Jimbo la Kongwa

    Siku chache baada ya kuzikwa kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Hayati Job Yustino Ndugai, mchakato wa kisiasa wa kujaza nafasi ya ubunge wa jimbo hilo umeanza upya kwa kasi. Mnamo Siku ya jana Agosti 12, 2025, jumla ya...
  5. Kasomi

    Kura za maoni kupigwa upya Jimbo la Kongwa

    UPDATES Mchakato wa kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika upya Jumapili Agosti 17, 2025 kufuatia kifo cha aliyeongoza kura za maoni, hayati Job Ndugai. Akitangaza utaratibu mzima, Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala amesema...
  6. Kasomi

    Sabaya apita ngazi ya Wilaya Jimbo la Arumeru

    Lengai Ole Sabaya ameibuka miongoni mwa wagombea watatu bora waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mchakato wa awali wa kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi. Hii ni hatua muhimu na yenye uzito mkubwa kwa Sabaya ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya kwenye medani ya...
  7. Kasomi

    Baba Levo, Kiumbe na Baruani Muhuza wapenya Tatu Bora Jimbo la Kigoma Mjini

    Babalevo apeta Tatu Bora Ubunge Kigoma Mjini ndani ya CCM! Mchakato wa kuwania tiketi ya CCM kugombea Ubunge wa Kigoma Mjini umechukua sura mpya! Awali wagombea walikuwa 9, lakini baada ya mchujo wa awali ngazi ya wilaya, majina ya Kilumbe Shaban, Baruan Muhuza (mtangazaji maarufu) na Dkt...
  8. Kasomi

    Luhaga Mpina aenguliwa kugombea Ubunge Jimbo la kisesa

    🟢 Safari ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ndani ya Bunge kupitia CCM huenda ikafikia ukingoni mwaka huu Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametupwa nje ya mbio za kuwania tena ubunge kupitia CCM mwaka huu! 🛑 Taarifa kutoka vikao vya chama ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wa Simiyu...
  9. Kasomi

    Ubunge Jimbo la kilwa kaa la Moto

    UBUNGE JIMBO LA KILWA KAA LA MOTO Ni kweli na haya ni ya kawaida sana jimboni kwangu Kilwa, na hasa Kilwa Kaskazini: Baada ya Kingunge Ngombali Mwiru kuacha kugombea, trend ya wagombea kufa au kupatwa na madhila imekuwa hivi:👇🏾 1. Aligombea bwana Chubi na bwana Mtumbuka kwenye kura za maoni...
  10. Kasomi

    Majimbo Mapya 8 ya Uchaguzi yatangazwa

    Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa majimbo mawili ya uchaguzi, Mosi jimbo la Ukonga limegawanywa na kuanzishwa jimbo la Kivule, Pili jimbo la Mbagala limegawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la Chamazi. Mkoa wa Dodoma limeanzishwa jimbo jipya moja ambapo jimbo la uchaguzi l Dodoma Mjini...
Back
Top