Advertise here

kadi

  1. Kasomi

    Usitumie Kadi tofauti na Mpesa Visa na Hizi ndizo Sababu

    Usitumie Kadi tofauti na Mpesa Visa na Hizi ndizo Sababu Sehemu ya 1 Mpesa Pekee Ndio Virtual Card lliyoweza Kutofautisha Kati ya Pesa iliyopo Kwenye M-pesa na Visa Card. Hii ni Tofauti na Mitandao Mingine Kwani Pesa iliyopo Kwenye Visa ndio Iliyopo Kwenye Tigopesa au Airtel Money. Zitumie...
  2. Kasomi

    Chukua Hii: Je, wajua kwa nini mchezaji akivua jezi uwanjani anaonyeshwa kadi ya njano?

    Umewahi kujiuliza kwanini mchezaji akivua jezi uwanjani anaonyeshwa kadi ya njano? Huyu ndio mwamba aliyesababisha FIFA kukaa chini na kutunga sheria hiyo; Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa Klabu ya Manchester United Diego Forlan katika mchezo wa ligi kuu ya pale Nchini Uingereza ilikuwa ni...
  3. Kasomi

    Bernard Membe Arudi CCM

    Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM Ndugu Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya CCM. Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 31, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka imeeleza kuwa Ndugu Membe...
Back
Top