Advertise here

Usitumie Kadi tofauti na Mpesa Visa na Hizi ndizo Sababu

Kasomi

JT Founder
Usitumie Kadi tofauti na Mpesa Visa na Hizi ndizo Sababu

Sehemu ya 1

Mpesa Pekee
Ndio Virtual Card lliyoweza Kutofautisha Kati ya Pesa iliyopo Kwenye M-pesa na Visa
Card.

Hii ni Tofauti na Mitandao Mingine Kwani Pesa iliyopo Kwenye Visa ndio Iliyopo Kwenye Tigopesa au Airtel Money.

Zitumie Kama Unataka Kuliwa Pesa Za Ada za Wanao. Jinsi ya Kuunda, Kufuta na Kuweka Pesa Kwenye Visa ya M-Pesa.

Sehemu ya 2

JINSI YA KUTENGENEZA VISA CARD YA VODA

*150*00#

Namba - 4

Namba - 7

Namba - 1

Sehemu ya 3

JINSI YA KUANGALIA TAARIFA ZA KADI

*150*00#

Namba - 4

Namba - 7

Namba - 2

Rekodi Kadi namba CVV na Expired Date Kwenye Notebook yako!

Sehemu ya 4

JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE KADI BAADA YA KUTENGENEZA VISA CARD

*150*00#

Namba - 4

Namba - 7

Namba - 3

Weka Kiasi Kuanzia 20,000 Tsh Pesa itahama kutoka kwenye hiyo Mpesa kwenda kwenye Visa.

Sehemu ya 5

JINSI YA KUFUTA KADI YA ZAMANI

*150*00#

Namba - 4
Namba - 7
Namba - 5
Namba - 5

Unapotaka Kufuta Kadi Hakikisha Umetoa Pesa zote Kwenye Kadi Hadi Centi Bila Hivyo Haitafutika.

Credit: Samson Mbembele
 
Back
Top