Mabadiliko Makubwa: Tovuti Maarufu ya Remove.bg Kufungwa, kuhamia Rasmi Canva!
Ikiwa wewe ni mbunifu wa picha, mfanyabiashara wa mtandaoni, au mtu yeyote anayependa kuhariri picha, bila shaka unaifahamu tovuti ya remove.bg. Kwa miaka mingi, tovuti hii imekuwa mkombozi wa wengi kwa kuondoa...
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na tukamwelewa, lakini ni wazi kuwa kulikuwa na lugha fulani iliyotumika, kwa sababu Mungu ametuumba...
Je, unafahamu wimbo wa Taifa wa Afrika ya kusini (South Africa)
Umeundwa kwa lugha tano tofauti yaani Xhosa na Zulu (ubeti wa kwanza), Sesotho (ubeti wa pili), Afrikaans (ubeti wa tatu), na Kingereza (ubeti wa mwisho)
Chini kwenye picha ni wimbo wenyewe
Kulingana na ripoti ya UNESCO, kati ya lugha 1,500 na 3,000 (ikiwa ni pamoja na lahaja) zinazungumzwa kote barani Afrika.
Hizi ni lugha zinazo ongoza kwa kuzungumuzwa zaidi Barani Afrika
1. Kiswahili
Idadi ya wazungumzaji: zaidi ya watu milioni 230 wanazungumuza Kiswahili Afrika.
Kiswahili...
Tanzania imeendelea kutambulika kimataifa kama moja ya mataifa muhimu barani Afrika, na tafsiri ya jina lake hutofautiana kulingana na lugha na maeneo mbalimbali duniani. Utafiti mpya unaonyesha namna mataifa tofauti yanavyolitaja jina la Tanzania kwa mitazamo ya lugha zao.
1. Tanzania...
Mtazame na msikilize Kadinali Rugambwa kutoka Tanzania akila kiapo kwa lugha ya Kilatini kabla ya uchaguzi wa Papa. Mkono unawekwa juu ya Injili yaani maandiko matakatifu.
Tazama video