matangazo

  1. Kasomi

    WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status

    WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status. Watumiaji wa Whatsapp muda sio mrefu mtaanza kukutana na mabadiliko mapya kwenye program ya Whatsapp baada ya ripoti mpya toka WhatsApp kuwa Watumiaji wa Whatsapp wataanza kupokea matangazo upande wa Status. Whatsapp wameanza kuweka matangazo...
  2. Kasomi

    Mwanzilishi wa VLC Jean-Baptiste Kempf alikataa Matangazo ya Billion 24 ili VLC Media Player iwe bure

    Je, umewahi kutumia VLC Media Player kuangalia filamu au kusikiliza muziki? Bila shaka umewahi – na kama hujalipia chochote, unapaswa kumshukuru mtu mmoja: Jean-Baptiste Kempf. Katika dunia ambapo kila kitu kinalipiwa, VLC imekuwa ya kipekee – bure kabisa, bila matangazo, bila ufuatiliaji wa...
  3. F

    Msimbo wa matangazo PremierBet (Premierbet promo code) jinsi ya kujisajili

    Unahitaji kufungua account ya premierbet tanzania? Hii nikampuni kongwe na yenye ujuzi wa hali ya juu katika tasnia ya michezo ya betting nchini Tanzania. Ikiendesha huduma zake kwa zaidi ya miaka 10 kampuni hii imekuwa ikipendwa na na watu mbalimbali kutoka kila kona ya nchi. Je msimbo wa...
  4. Kasomi

    Sheria na vigezo vya kuweka matangazo kwenye jukwaa hili

    Sheria na vigezo vya kuweka matangazo. 1- Weka bayana maelezo ya Bidhaa husika inayo uzwa yaani sifa yake. Mfano Bidhaa ni mpya au imetumika na sifa nyingine kama aina, uwezo, bidhaa ilipo n.k 2- Muuza anapaswa kuweka mawasiliano jinsi ya kumpata, mawasiliano ni pamoja na mawasiliano binafsi...
Back
Top