Advertise here

WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status

Kasomi

JT Founder
WhatsApp wameanza kuweka matangazo kwenye status.
kia car key (18) (2).jpg

Watumiaji wa Whatsapp muda sio mrefu mtaanza kukutana na mabadiliko mapya kwenye program ya Whatsapp baada ya ripoti mpya toka WhatsApp kuwa Watumiaji wa Whatsapp wataanza kupokea matangazo upande wa Status.
Whatsapp wameanza kuweka matangazo sehemu ya status. Hii ni njia mpya ya wafanyabiashara. kuweza kuwafikia wateja zaidi kupitia matangazo yatakayojitokeza upande wa Tab ya Status. Matangazo hayo yameundwa kwa uwangalifu kwa kuzingatia faragha (privacy).

Kuonyesha matangazo bado Watumiaji wake wataendelea kuwa salama kwani unaweza kuwasiliana na mtu ambaye ametuma tangazo lake na ukaliona bila namba yako ya simu kuonekana pia Tangazo litaendana na mtumiaji wa Whatsapp amechagua nini kuanzia
💨 Nchi au mji
💨 Lugha
💨 Channel ulizo zi follow
💨 Vile ambavyo Utaweza ku interact unapokutana na matangazo kwenye akaunti yako.

Kwaiyo kuanzia sasa ukianza kuona matangazo kwenye Whatsapp yako usije kuanza kushangaa..

Pia Whatsapp Wametambulisha uwezo wa wamiliki wa WhatsApp kufanya matangazo ili kuifanya channel ijulikane zaidi. yake iweze kuonekana zaidi kwa watu wote na kuweza kujitangaza duniani kwa urahisi kama ilivyo kwenye Instagram nk. yake iweze kuonekana zaidi kwa watu wote na kuweza kujitangaza duniani kwa urahisi kama ilivyo kwenye Instagram nk.

Maboresho Mengine ni Channel Subscription

Whatsapp channel subscription ambapo inampa uwezo mtu ambaye ameunda channel kwenye Whatsapp kuweza kuweka option ya watu kulipia ili kuweza kupata exclusive content toka kwenye hiyo channel ambapo watu watakua wanalipia kwa mwezi.
 
Back
Top