Msimbo wa matangazo PremierBet (Premierbet promo code) jinsi ya kujisajili

futaa

Member
Unahitaji kufungua account ya premierbet tanzania? Hii nikampuni kongwe na yenye ujuzi wa hali ya juu katika tasnia ya michezo ya betting nchini Tanzania. Ikiendesha huduma zake kwa zaidi ya miaka 10 kampuni hii imekuwa ikipendwa na na watu mbalimbali kutoka kila kona ya nchi.

Je msimbo wa matangazo premierbet ni ipi? Msimbo wa matangazo au promo code Jaza sehemu hiyo neno Ofa
huu ni msimbo maalumu kwaajili ya kupata bonasi. Sehemu palipoandikwa Msimbo wa matangazo au Promo code jaza neno Ofa

Jinsi ya kujisajili .
1. Ingia katika tovuti ya premierbet au bofya >HAPA>
2. Jaza jina lako la kwanza
3. Jaza jina lako la pili
4. Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0
5 . Jaza passord yako au nyila
6. Jaza msimbo wa matangazo andika neno, Ofa
7. Bofya jisajili kwa usalama (Register)
Baada ya hapo deposit ili kupokea bonasi katika account yako
 
Back
Top