musk

  1. Kasomi

    Elon Musk awa Trilionea wa kwanza duniani

    Tajiri namba moja dunianni Elon Musk amevunja rekodi mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza duniani kufikia utajiri wa trilioni moja ya dola. Hii imetokana na kupanda kwa asilimia 25 kwa thamani ya hisa za kampuni yake ya SpaceX siku ya Ijumaa, mara tu zilipoanza kuuzwa. Bei ya hisa ilipanda kutoka...
  2. Kasomi

    Elon Musk kuzindua Simu ya kipee inayotumia Jua iitwayo Tesla Pi Phone

    Katika ulimwengu wa teknolojia, jina la Elon Musk limekuwa ishara ya misukumo mipya, uvunjaji wa mipaka, na ubunifu unaotangulia wakati. Kutoka roketi zinazotumika zaidi ya mara moja za SpaceX, magari ya umeme ya Tesla, hadi miradi ya akili bandia na Neuralink, Musk ameandika sura mpya katika...
  3. Kasomi

    Elon Musk ndo Mtu Tajiri Zaidi Duniani

    Bilionea namba 1 ulimwenguni Elon Musk amekuwa binadamu wa kwanza kufikisha utajiri wa dola bilioni 500 (zaidi ya kwadrilioni 1 ya kitanzania) Kwa mujibu wa Forbes, utajiri wa Musk ulifikia dola bilioni 500. 1 jana Jumatano. Mafanikio sokoni ya Kampuni yake ya magari ya Tesla na ongezeko la...
  4. Kasomi

    Utajiri wa Elon Musk waporomoka dollar Billion 15 baada ya kuanzisha Chama chake

    Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za kampuni ya Tesla kuporomoka kwa karibu asilimia 7 na kushuka kwa takriban dola 21. Kwa mujibu wa Bloomberg Billionaires Index, licha ya kupungua kwa...
  5. Kasomi

    Elon Musk aondoka Ikulu ya White House, atangaza DOGE kuendelea

    Elon Musk, bilionea na mmiliki wa X (zamani Twitter), amethibitisha kuondoka kwake kutoka serikali ya Rais Donald Trump. Musk alikuwa akiongoza juhudi kubwa za kupunguza ukubwa na matumizi ya serikali ya Marekani, zilizosababisha maelfu ya nafasi za kazi za serikali kufutwa. Katika chapisho lake...
  6. Kasomi

    Elon Musk Auza Mtandao wa x (Twitter) Kwenye Kampuni yake Yingine ya xAI

    Elon Musk Kampuni ya akili bandia ya Elon Musk, xAI, imechukua umiliki wa X, mtandao wa kijamii uliokuwa ukijulikana kama Twitter, katika dili lenye thamani ya dola bilioni 45. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye X, Musk alisema: “Mustakabali wa xAI na X unahusiana kwa karibu. Leo...
  7. Kasomi

    Elon Musk has indeed experienced a significant net worth loss

    Elon Musk has indeed experienced a significant net worth loss, with reports suggesting he's lost around $150 billion this year due to a decline in Tesla stock, while still remaining the world's richest person. Bloomberg reports that Musk lost around $29 billion on that Monday alone. Some...
  8. Kasomi

    Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja mwanamke aliyewahi kuwa na Elon Musk

    Pichani kulia ni mwanadada Amber Heard muigizaji maarufu nchini Marekani anayetajwa kama moja ya wanawake warembo zaidi kuwahi kutokea duniani ambaye pia amewahi kudet na Elon Musk Cha kushangaza kuhusu Amber ni kwamba alianza kudet na Elon Musk huku akiwa mke wa mtu ndani ya ndoa na muigizaji...
  9. Kasomi

    Sam Altman Akataa ofa ya Elon Musk asema labda wainunue X (twitter)

    Vita vipya vya maneno vilizuka kati ya marafiki Sam Altman na Elon Musk waliogeuka kuwa maadui wa biashara. Elon Musk na Sam Altman walijibizana baada ya wadhamini kujitolea kununua OpenAI kwa $97.4 bilioni. Mkurugenzi Mtendaji wa OpenAI alikataa pendekezo la Musk na akajitolea kununua ‘Twitter’...
  10. Kasomi

    Muungano unaoongozwa na Musk watoa ofa ya $ 97.4bn kwa mtengenezaji wa Chatgpt

    Muungano wa wawekezaji unaoongozwa na Elon Musk ulitoa ofa ya $97.4bn kununua OpenAI, watengenezaji wa ChatGPT. Wakili wa bilionea huyo, Marc Toberoff, alithibitisha kuwa aliwasilisha ofa ya "mali zote" za kampuni ya Musk kwa bodi yake Jumatatu. Ofa hiyo ni mabadiliko ya hivi punde katika vita...
  11. Kasomi

    Musk posed the question: "What is the best thing we can do to ensure the future is good?

    Musk posed the question: "What is the best thing we can do to ensure the future is good? We could sit on the sidelines or we can encourage regulatory oversight, or we could participate with the right structure with people who care deeply about developing AI in a way that is safe and is...
Back
Top