Watahiniwa 477,262 Kati ya 516,695 waliofanya mtihani wa kidato cha nne 2024 wamefaulu kwa 92.37% ,ukilinganisha na matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2023 ambapo watahiniwa waliofaulu walikuwa 471,427 sawa na 89.36%, ambapo kati yao wasichana ni 249,078 sawa na 91.72 na wavulana 228,184 sawa...