Kasomi
JT Founder
Baraza la Mitihani la Tanzania leo tarehe 7/7/2025 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika Mwezi Mei, 2025.
Asilimia 99.95 Wafaulu Mtihani wa Kidato cha Sita 2025
Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA
Bonyeza Hapa kutazama matokeo